John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja, walitapeli kwamba watapeleka barabara,maji, umeme, vyote havipo, na tunaambiwa Hela nyingi ilishalipwa.
Nashauri halmashauri ya Ilemela pia ikaguliwe kwa kipindi alichoongoza, najua ana tabia ya kuhonga madiwani ili wasimbane.
Bashungwa, hebu muondoe huyu,anachafua serikali, ni bilionea kwa sasa
Ukute ndugu ake MakondaN.B.
Waziri Jaffo aliwahi kumtumbua, JPM akamrudisha
Huyo atolewe. Musukuma ana guts za kusema na wakati unamruhusu, Angelina Mabula asingeweza kusema kwa sababu alikuwa serikalini, na pili Wanga alikuwa mtu wa JiweWakuu wa idara mna taabu sana. Wivu wa nini. Mnajua akitumbuliwa mtakaimu. Kazi njema warafuta vyeo
Mama ampe mamlaka ya kuwashona wakurugenzi wa aina hii, hawa ndio wanagusa wananchi moja kwa mojaHapo Sasa najiuliza Huyo mama ana mpango Gani na sisi watz,Tena kampa asimamie handaki ambalo jiwe aliweka askari wake,kweli inakatisha tamaa kama tupo salama
Ni kweli jiwe wa Burundi Hawa kina bashungwa aliwatumia Ili kutakatisha Nia yake ya kuanzisha mkoa wa chatoBashungwa wa Karagwe huko, JPM wa Burundi
Sana tuBashungwa akaze buti
HhhhhhhhNamshauri Angelina Mabula afanye ukaguzi wa kina pale ardhi Ilemela, au halmashauri nzima ikaguliwe, alikuwa anafadhili kampeni za madiwani ili wakishinda wamfichie Siri zake na kuzima skendo zake