Je asipogombea! Kwanini usiwe ni wewe! Acha kudhihirisha ujinga na udhaifu wakoNimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Nchi ngumu sana hii. ! Tusubiri tuone !Huu uzi huu!kama nauona vile!
Jamaa ni patriotic,calm, visionary, Truth ful, intelligent atafanikisha next stage!!
Asante sana kwa maoni yako, mimi naendelea kusisitiza, Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Majungu tu, najua kuna mtu wako unayemtaka, hafai, ni mchafu, rekodi mbovu kuanzia akiwa shuleni.Asante sana kwa maoni yako, mimi naendelea kusisitiza, Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P
ACHA kuwasagia kunguni wajomba zangu wa karagwe mkuu!!Asante sana kwa maoni yako, mimi naendelea kusisitiza, Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P
Pasco,Asante sana kwa maoni yako, mimi naendelea kusisitiza, Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P
Huyo ni Team February.Majungu tu, najua kuna mtu wako unayemtaka, hafai, ni mchafu, rekodi mbovu kuanzia akiwa shuleni.
Mkuu nasaba zinafanana tu za makabila ya Afrika hasa wafugaji!hakuna nasaba ya Rwanda wala Burundi wala kenya nasaba ni nasaba zile homosapiens!!Asante sana kwa maoni yako, mimi naendelea kusisitiza, Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P
Vipi kwani kuna kupokezana kwa dini?, jee inajua akiwa Mgalatia ni lazima awe Mkatoliki?.Pasco,
Nakujua wewe ni team January. Muambie hivi, 2030 is for a Galatia. Asijisumbue. Hatutakubali.
He should opt for 2040 maybe.
Anayepanga nani awe rais wetu, sio wewe, sio mimi na sio rais aliyepo madarakani, ni YEYE.Huyo ni Team February.
Hatokaa awe Rais wa nchi hii.
Ndiyo ipo. Ni utaratibu na desturi itakayoendelea tena na tena katika kupokezana kijiti ndani ya CCM.Vipi kwani kuna kupokezana kwa dini?
Ni mapema mno kusema 'lazima' awe Mkatoliki. Hiyo ni dhana tu. Hata hivyo, Wakatoliki nao ni Wagalatia na wana haki hiyo.jee inajua akiwa Mgalatia ni lazima awe Mkatoliki?.
Hatuangalii jina. Tunachoangalia ni imani yake. January ni muislamu, anapoapa hushika Msahafu. Kuonyesha anasadiki katika dini ya uislamu.Jee unajua jina la January ni la dini gani?.
Unafurahisha jukwaa. January hajawahi kuwa Mkatoliki hata kama mzazi wake ni Mkatoliki.Unaijua dini ya Mama yake?. Unawajua wanawake wa Katoliki, hata wakioolewa na Muislam, watoto wakizaliwa ni Wakatoliki?.
Si muhimu. Kwa sababu hawagombei wao. Bali baba yao, January.Unamjua mkewe na majina ya watoto wake!.
Aache tamaa na uchu wa madaraka. Hatuhitaji vyeti vya ubatizo. Imani yake inajidhihirisha wazi. Hata akibadili dini tutaendelea kumtambua kama Muislamu.Mwisho unajua dini inabadilishika?. Muda muafaka ukifika, vyeti vya ubatizo vitaletwa!.
Mtu wako ni January. Uliandika hapo kabla. Majuzi hapa umebadili gia angani.Kwa 2025 mtu wangu nimemtaja hapa pamoja na mtu wa 2030!, na sio January!.
Na siyo huyo January. Ni Mungu. Na anasema kupitia watu. Na watu ni sisi. Makamba asubiri 2040.Anayepanga nani awe rais wetu, sio wewe, sio mimi na sio rais aliyepo madarakani, ni YEYE.
P
Makosa ya utotoni au ujanani hayamzuii aliyepangiwa!. Unamjua mmoja aliyevuja dirisha la seminari, akatimuliwa!, alipokuwa Waziri, akagawa nyumba za serikali kwa ndugu, jamaa na marafiki hadi vimada!.Majungu tu, najua kuna mtu wako unayemtaka, hafai, ni mchafu, rekodi mbovu kuanzia akiwa shuleni.
Japo ni kweli vox populi is vox Dei, Mungu anawasikiliza watu, lakini tusimpangie Mungu. akiamua ni fulani, ni fulani, ndio maana hata Rais Samia aliposema 2025 twende na Mwanamke, sisi wa ushauri wa bure, tulimuunga mkono na kumpa angalizo Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Na siyo huyo January. Ni Mungu. Na anasema kupitia watu. Na watu ni sisi. Makamba asubiri 2040.
Pascal Mayalla mtu wako uliyemtaja viatu vinampwaya huku Zanzibar, njoo Zanzibar uone anavyopwaya hadi wenye nchi hawamwelewiVipi kwani kuna kupokezana kwa dini?, jee inajua akiwa Mgalatia ni lazima awe Mkatoliki?.
Jee unajua jina la January ni la dini gani?. Unaijua dini ya Mama yake?. Unawajua wanawake wa Katoliki, hata wakioolewa na Muislam, watoto wakizaliwa ni Wakatoliki?. Unamjua mkewe na majina ya watoto wake!. Mwisho unajua dini inabadilishika?. Muda muafaka ukifika, vyeti vya ubatizo vitaletwa!.
Kwa 2025 mtu wangu nimemtaja hapa pamoja na mtu wa 2030!, na sio January!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
Na kingine Mungu kwa sasa huwa hachagui viongozi bali wanadamu huchangua kisha mkiwa mnampeleka/wapeleka kwa Mungu kwa njia ya maombi Mungu hutia baraka zake kwa huyo/hao viongozi na uongozi wao,Japo ni kweli vox populi is vox Dei, Mungu anawasikiliza watu, lakini tusimpangie Mungu. akiamua ni fulani, ni fulani, ndio maana hata Rais Samia aliposema 2025 twende na Mwanamke, sisi wa ushauri wa bure, tulimuunga mkono na kumpa angalizo Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P