Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Je asipogombea! Kwanini usiwe ni wewe! Acha kudhihirisha ujinga na udhaifu wako
 
Pasco,

Hongera kwa uzi wako huo. Ila naomba kufahamu uhusiano wa kuja kuuquote chini ya uzi unaohusu Mwanasiasa mwingine tena mwenye ndoto ya kuwa Rais.

Bahati mbaya sana anatokea katika kanda ambayo ipo mipakani.

Je, kuna lolote unataka kumaanisha?

Nakujua wewe ni team January. Muambie hivi, 2030 is for a Galatia. Asijisumbue. Hatutakubali.

He should opt for 2040 maybe.
 
Pasco,

Nakujua wewe ni team January. Muambie hivi, 2030 is for a Galatia. Asijisumbue. Hatutakubali.

He should opt for 2040 maybe.
Vipi kwani kuna kupokezana kwa dini?, jee inajua akiwa Mgalatia ni lazima awe Mkatoliki?.
Jee unajua jina la January ni la dini gani?. Unaijua dini ya Mama yake?. Unawajua wanawake wa Katoliki, hata wakioolewa na Muislam, watoto wakizaliwa ni Wakatoliki?. Unamjua mkewe na majina ya watoto wake!. Mwisho unajua dini inabadilishika?. Muda muafaka ukifika, vyeti vya ubatizo vitaletwa!.

Kwa 2025 mtu wangu nimemtaja hapa pamoja na mtu wa 2030!, na sio January!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Vipi kwani kuna kupokezana kwa dini?
Ndiyo ipo. Ni utaratibu na desturi itakayoendelea tena na tena katika kupokezana kijiti ndani ya CCM.
jee inajua akiwa Mgalatia ni lazima awe Mkatoliki?.
Ni mapema mno kusema 'lazima' awe Mkatoliki. Hiyo ni dhana tu. Hata hivyo, Wakatoliki nao ni Wagalatia na wana haki hiyo.
Jee unajua jina la January ni la dini gani?.
Hatuangalii jina. Tunachoangalia ni imani yake. January ni muislamu, anapoapa hushika Msahafu. Kuonyesha anasadiki katika dini ya uislamu.
Unaijua dini ya Mama yake?. Unawajua wanawake wa Katoliki, hata wakioolewa na Muislam, watoto wakizaliwa ni Wakatoliki?.
Unafurahisha jukwaa. January hajawahi kuwa Mkatoliki hata kama mzazi wake ni Mkatoliki.
Unamjua mkewe na majina ya watoto wake!.
Si muhimu. Kwa sababu hawagombei wao. Bali baba yao, January.
Mwisho unajua dini inabadilishika?. Muda muafaka ukifika, vyeti vya ubatizo vitaletwa!.
Aache tamaa na uchu wa madaraka. Hatuhitaji vyeti vya ubatizo. Imani yake inajidhihirisha wazi. Hata akibadili dini tutaendelea kumtambua kama Muislamu.
Kwa 2025 mtu wangu nimemtaja hapa pamoja na mtu wa 2030!, na sio January!.
Mtu wako ni January. Uliandika hapo kabla. Majuzi hapa umebadili gia angani.
 
Majungu tu, najua kuna mtu wako unayemtaka, hafai, ni mchafu, rekodi mbovu kuanzia akiwa shuleni.
Makosa ya utotoni au ujanani hayamzuii aliyepangiwa!. Unamjua mmoja aliyevuja dirisha la seminari, akatimuliwa!, alipokuwa Waziri, akagawa nyumba za serikali kwa ndugu, jamaa na marafiki hadi vimada!.
Akasimamia harusi ya mpwawe, na kugharimia kila kitu, mtoto kuzaliwa copy right na uncle, mpwa akaachia, uncle akamiliki jumla!. Mbona alikuja kuwa?.

Kwa kukusaidia tuu watu wangu wa 2025 na 2030 nimewataja hapa na sio huyo Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Na siyo huyo January. Ni Mungu. Na anasema kupitia watu. Na watu ni sisi. Makamba asubiri 2040.
Japo ni kweli vox populi is vox Dei, Mungu anawasikiliza watu, lakini tusimpangie Mungu. akiamua ni fulani, ni fulani, ndio maana hata Rais Samia aliposema 2025 twende na Mwanamke, sisi wa ushauri wa bure, tulimuunga mkono na kumpa angalizo Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
 
Vipi kwani kuna kupokezana kwa dini?, jee inajua akiwa Mgalatia ni lazima awe Mkatoliki?.
Jee unajua jina la January ni la dini gani?. Unaijua dini ya Mama yake?. Unawajua wanawake wa Katoliki, hata wakioolewa na Muislam, watoto wakizaliwa ni Wakatoliki?. Unamjua mkewe na majina ya watoto wake!. Mwisho unajua dini inabadilishika?. Muda muafaka ukifika, vyeti vya ubatizo vitaletwa!.

Kwa 2025 mtu wangu nimemtaja hapa pamoja na mtu wa 2030!, na sio January!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
Pascal Mayalla mtu wako uliyemtaja viatu vinampwaya huku Zanzibar, njoo Zanzibar uone anavyopwaya hadi wenye nchi hawamwelewi
 
Japo ni kweli vox populi is vox Dei, Mungu anawasikiliza watu, lakini tusimpangie Mungu. akiamua ni fulani, ni fulani, ndio maana hata Rais Samia aliposema 2025 twende na Mwanamke, sisi wa ushauri wa bure, tulimuunga mkono na kumpa angalizo Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
Na kingine Mungu kwa sasa huwa hachagui viongozi bali wanadamu huchangua kisha mkiwa mnampeleka/wapeleka kwa Mungu kwa njia ya maombi Mungu hutia baraka zake kwa huyo/hao viongozi na uongozi wao,
Viongozi wachanguliwe na Deep State halafu aje mtu aseme amechaguliwa na Mungu?
Serious?
Tuogopeni kumsingizia Mungu na mengine ambayo hahusiki nayo.
 
Back
Top Bottom