Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Pascal Mayalla mtu wako uliyemtaja viatu vinampwaya huku Zanzibar, njoo Zanzibar uone anavyopwaya hadi wenye nchi hawamwelewi
Ili mtu kutembea, sio lazima viatu vikufiti, vikikupwaya unaongeza shoe carpet, unaweza kuongeza matambara na ukatembea poa kabisa!. Ila iwapo viatu havikufiti vizuri, vinakupwa, kukimbia ndio hutaweza!. Kazi ile sio ya kukimbizana mchaka mchaka, au kupiga pushups!. Unamkumbuka yule aliyekimbiaga mchaka mchaka na kupiga pushups yuko wapi?.
Hivyo viatu visipomfiti, vinafitishwa vinafitishwa!.
P
 
Ni Mungu pekee huweka serikali za mataifa.
P
 
Bashungwa[emoji3581]Mwinyi[emoji3581]Majaliwa[emoji3581]nawakubali akipita mmoja wapo itakua vizuri
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Hata mimi nimeliona hili kitambo sana.
 
Jk pekee ndio aliyekuwa Rais kwa kujiandaa na mipango kabambe, wengine wote hawakujua siku wala saa. Nchi ikiwa inaandaa mtu kwa codes nyepesi namna hii sio salama kwa Taifa. Mtu anatakiwa kuwa surprise maadui wapate kazi ya kum profile na kutabiri nini kitatokea.
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Haturudii makosa kuwapa nchi banyamulenge
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Bado unaota CCM washindi
 
ACHA kuwasagia kunguni wajomba zangu wa karagwe mkuu!!

Mbona una wasanua vipepeo!!?
Je unajua Che alizaliwa Nchumbiji?, Unajujua hata yule Blaza wangu, hakuzaliwa hapa?, na Baba halisi sii wa kwetu?. Alipokuja kuna walimuona na wanajua kila kitu!. Tena asingeitwa, alikuwa amkabidhi urais ndugu yake wa kwao!, yule Daktari!. Kanisome hapa Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025
Kiukweli kabisa wale wenzetu wako very smart upstairs kuliko sisi, na wako very bold kuliko sisi, angekuwa ni mwenzetu, asingeweza kuyafanya yote aliyoyafanya!. Kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi!.

Sifa za ile post ni lazima uwe raia wa Tanzania wa kuzaliwa na wazazi wote wawili Watanzania!.

Mipaka yetu ni very porous, mtu unazaliwa kule, unakuja kusomea Tanzania, tayari ni Mtanzania!. We have to be very careful na wenzetu wa mipakani.
P
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Wadau naomba kuuliza Innocent
1.Bashungwa ameanza kupikwa na team ipi, Team Lowasa au team Jk?
2. Na George Simbachawene amepikwa na kundi lipi?
Team Jk au team Edo?
 
Hamjamfikiria Dr Nchimbi mbona? Kimya kingi kina mshindo..
 
Ahaaaa, ahaaaaaa Bro Pascal Mayalla hatari sana "Hivyo viatu visipomfiti, vinafitishwa vinafitishwa" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aya bhana, lakini sasa hao wenye kufanya viatu vifiti inabidi wamsaidie huko Zanzibar viweze kumfiti.
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
rais ajae ni ndugu tundu lissu........chuma kweli kweli huyu jamaaa,naona kabisa tutafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…