Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

Pascal Mayalla mtu wako uliyemtaja viatu vinampwaya huku Zanzibar, njoo Zanzibar uone anavyopwaya hadi wenye nchi hawamwelewi
Ili mtu kutembea, sio lazima viatu vikufiti, vikikupwaya unaongeza shoe carpet, unaweza kuongeza matambara na ukatembea poa kabisa!. Ila iwapo viatu havikufiti vizuri, vinakupwa, kukimbia ndio hutaweza!. Kazi ile sio ya kukimbizana mchaka mchaka, au kupiga pushups!. Unamkumbuka yule aliyekimbiaga mchaka mchaka na kupiga pushups yuko wapi?.
Hivyo viatu visipomfiti, vinafitishwa vinafitishwa!.
P
 
Na kingine Mungu kwa sasa huwa hachagui viongozi bali wanadamu huchangua kisha mkiwa mnampeleka/wapeleka kwa Mungu kwa njia ya maombi Mungu hutia baraka zake kwa huyo/hao viongozi na uongozi wao,
Viongozi wachanguliwe na Deep State halafu aje mtu aseme amechaguliwa na Mungu?
Serious?
Tuogopeni kumsingizia Mungu na mengine ambayo hahusiki nayo.
Ni Mungu pekee huweka serikali za mataifa.
P
 
Bashungwa[emoji3581]Mwinyi[emoji3581]Majaliwa[emoji3581]nawakubali akipita mmoja wapo itakua vizuri
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Hata mimi nimeliona hili kitambo sana.
 
Wanaandaliwa wawili.
Baahungwa na Riziwani

Wote hawa lazima wapite Tamisemi, Ofisi ya Rais utawala bora ambako Kuna wale jamaa wa suti nyeusi.

Lazima wapite Ulinzi na Foreign affairs kwa nyakati tofauti.

Ila naona rimoti ya msoga ilkifaulu zaidi kuchezesha mchezo vizuri, processor akiwa Mzee Kinana kwa ukaribu.

Walioko nje ya matazamio lkn wako ktk maandalizi kabambe Ni pamoja na Marope,na huyu anayekwapua pale hazina.
Jk pekee ndio aliyekuwa Rais kwa kujiandaa na mipango kabambe, wengine wote hawakujua siku wala saa. Nchi ikiwa inaandaa mtu kwa codes nyepesi namna hii sio salama kwa Taifa. Mtu anatakiwa kuwa surprise maadui wapate kazi ya kum profile na kutabiri nini kitatokea.
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Haturudii makosa kuwapa nchi banyamulenge
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Bado unaota CCM washindi
 
ACHA kuwasagia kunguni wajomba zangu wa karagwe mkuu!!

Mbona una wasanua vipepeo!!?
Je unajua Che alizaliwa Nchumbiji?, Unajujua hata yule Blaza wangu, hakuzaliwa hapa?, na Baba halisi sii wa kwetu?. Alipokuja kuna walimuona na wanajua kila kitu!. Tena asingeitwa, alikuwa amkabidhi urais ndugu yake wa kwao!, yule Daktari!. Kanisome hapa Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025
Kiukweli kabisa wale wenzetu wako very smart upstairs kuliko sisi, na wako very bold kuliko sisi, angekuwa ni mwenzetu, asingeweza kuyafanya yote aliyoyafanya!. Kuna vitu sisi wenyewe hatuwezi!.

Sifa za ile post ni lazima uwe raia wa Tanzania wa kuzaliwa na wazazi wote wawili Watanzania!.

Mipaka yetu ni very porous, mtu unazaliwa kule, unakuja kusomea Tanzania, tayari ni Mtanzania!. We have to be very careful na wenzetu wa mipakani.
P
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Wadau naomba kuuliza Innocent
1.Bashungwa ameanza kupikwa na team ipi, Team Lowasa au team Jk?
2. Na George Simbachawene amepikwa na kundi lipi?
Team Jk au team Edo?
 
Hamjamfikiria Dr Nchimbi mbona? Kimya kingi kina mshindo..
 
Ili mtu kutembea, sio lazima viatu vikufiti, vikikupwaya unaongeza shoe carpet, unaweza kuongeza matambara na ukatembea poa kabisa!. Ila iwapo viatu havikufiti vizuri, vinakupwa, kukimbia ndio hutaweza!. Kazi ile sio ya kukimbizana mchaka mchaka, au kupiga pushups!. Unamkumbuka yule aliyekimbiaga mchaka mchaka na kupiga pushups yuko wapi?.
Hivyo viatu visipomfiti, vinafitishwa vinafitishwa!.
P
Ahaaaa, ahaaaaaa Bro Pascal Mayalla hatari sana "Hivyo viatu visipomfiti, vinafitishwa vinafitishwa" 😂😂😂 aya bhana, lakini sasa hao wenye kufanya viatu vifiti inabidi wamsaidie huko Zanzibar viweze kumfiti.
 
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!

Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
rais ajae ni ndugu tundu lissu........chuma kweli kweli huyu jamaaa,naona kabisa tutafika mbali
 
Back
Top Bottom