Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

visehemu wanauza viepe[emoji23]

hutaki au??

na nikikuambia nilitoka arusha-moro saa 12 nkafika saa 9 kwa BM coach, utakataa
Msamvu stand wanaouza viepee si ndo wale wanakuja madirishani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], afu mie moro nimeishi, na nshawahi toka moro had mbeyaa, ko najuaa.

Hiyo ya Arusha siwezi sema, couz sijawahi safiri na bus. Nimewahi na private car tyuuh.
 
ngoja nitulie, hapa moto utaniwakia😂
 
Kaongo haka katoto hajui sisi wengine ni chilipamwao maeneo hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu alinichoshaa kwa kwelii.
 
Yeye akae kwa kutulia adanganye njia zingine hii bado sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msamvu stand wanaouza viepee si ndo wale wanakuja madirishani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], afu mie moro nimeishi, na nshawahi toka moro had mbeyaa, ko najuaa.

Hiyo ya Arusha siwezi sema, couz sijawahi safiri na bus. Nimewahi na private car tyuuh.
Msamvu nje ya stand kuna vimgahawa uchwara wanauza vyakula na vinywaji, sema naonaga mabasi mengi yanayopaki pale ni yanayoenda dodoma, lakini sehemu za kula zipo
 
Back
Top Bottom