Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Abood.Daaah! Hii ni mbaya. Ni kampuni gani hiyo kiongozi.
Kafara tayari hapo. Dunia ina mengi hii.
Abood.Daaah! Hii ni mbaya. Ni kampuni gani hiyo kiongozi.
Maisha ya watu waliopotea na adhabu haviendani.Kampuni ya usafirishaji abiria ambapo iko miaka mingi na ikijikita Ubungo mpaka Morogoro , yenye rangi damu ya mzee.
Kampuni hi inamilikiwa na mwanasiasa na madereva wake wana kiburi sana, huwa wanaendesha nakuingiza mitaroni sanan wenye malori na gari ndogo. natanua, akiona uso-kwa- uso anachomekea na hapo kama upo speed ukikwepa unaingia mtaroni yeye anatembea. Kama alikuwa slow utapona.
Pale Bunju, Hii kampuni yenye rangi damu ya mzee alitanua kupita magari 10, akakutana na IST, kaua abira wote wa IST, alafu anaenda mahakamani kulipa faini ya Elfu 50 tu.
Ifike pahala, wananchi wagomee kampuni zinazowatoa kafara!
DaaaahNi Jana na hiyo miili ni abiria wa IST japo dereva wa IST alikuwa Bado hajatolewa kabanwa na usukuni
Nilishasena hawa wapumbavu hii bagamoyo road wataua watu. Wanaendesha kama vichaa. Na abiria wamekaa tu kama mazuzu.Kampuni ya usafirishaji abiria ambapo iko miaka mingi na ikijikita Ubungo mpaka Morogoro , yenye rangi damu ya mzee.
Kampuni hi inamilikiwa na mwanasiasa na madereva wake wana kiburi sana, huwa wanaendesha nakuingiza mitaroni sanan wenye malori na gari ndogo. natanua, akiona uso-kwa- uso anachomekea na hapo kama upo speed ukikwepa unaingia mtaroni yeye anatembea. Kama alikuwa slow utapona.
Pale Bunju, Hii kampuni yenye rangi damu ya mzee alitanua kupita magari 10, akakutana na IST, kaua abira wote wa IST, alafu anaenda mahakamani kulipa faini ya Elfu 50 tu.
Ifike pahala, wananchi wagomee kampuni zinazowatoa kafara!
Unapata ugumu gani kusema basi la abiria la kampuni ya Abood, unaishia tu kutaja marangi rangi kama vile unawasimulia watoto wa kindergarten ?Kampuni ya usafirishaji abiria ambapo iko miaka mingi na ikijikita Ubungo mpaka Morogoro , yenye rangi damu ya mzee.
Kampuni hi inamilikiwa na mwanasiasa na madereva wake wana kiburi sana, huwa wanaendesha nakuingiza mitaroni sanan wenye malori na gari ndogo. natanua, akiona uso-kwa- uso anachomekea na hapo kama upo speed ukikwepa unaingia mtaroni yeye anatembea. Kama alikuwa slow utapona.
Pale Bunju, Hii kampuni yenye rangi damu ya mzee alitanua kupita magari 10, akakutana na IST, kaua abira wote wa IST, alafu anaenda mahakamani kulipa faini ya Elfu 50 tu.
Ifike pahala, wananchi wagomee kampuni zinazowatoa kafara!
Elezea kwa kina namna inavyofanya kazi.Kafara tayari hapo. Dunia ina mengi hii.
Abood. Pumbavu hawa nishawapisha njia kipande cha Mombo-Same bahati ile barabara ni pana.Daaah! Hii ni mbaya. Ni kampuni gani hiyo kiongozi.
MMILIKI ANAWAKILISHA WANANCHI WA MOROGORO KULE DODOMA.Daaah! Hii ni mbaya. Ni kampuni gani hiyo kiongozi.
Jammaa walikuwa wametoka Tanga, pia inawezekana hawajazoea high way.nasikia walikua wanatoka kwenye pati ya basdei kwaiyo wamekufa wakiwa vaibu sana sawa bwana tukiachana na yote kwa yote kwakweli sisi zetu ni dua tu
ha ha ha pumbaaav!Abdbc king of the road wenyewe warugulu huita
Mbona taarifa zingine hatoi?Imetolewa na;-
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi,
Dar es Salaam
Kumbe ni kafara. Kuna siku kidogo nipate ajali mbaya sana na basi hilo la Abood. Kosa alisababisha dereva wa basi. Ilikuwa overtake ya kwenye barabara ya lane mbili. Nilishangaa ali overtake upande wa kushoto lakini alibana zaidi kulia huku akitaka nipande ukuta wa barabara. Ilikuwa usiku, sikuweza hata kurekodi namba za hilo basi.Abood wataalam wa makafara