Basi la Abood lagongana na IST wakati dereva 'aki-overtake', Watu wanne wafariki Dunia

Maisha ya watu waliopotea na adhabu haviendani.
 
Nilishasena hawa wapumbavu hii bagamoyo road wataua watu. Wanaendesha kama vichaa. Na abiria wamekaa tu kama mazuzu.
 
Unapata ugumu gani kusema basi la abiria la kampuni ya Abood, unaishia tu kutaja marangi rangi kama vile unawasimulia watoto wa kindergarten ?
 
nasikia walikua wanatoka kwenye pati ya basdei kwaiyo wamekufa wakiwa vaibu sana sawa bwana tukiachana na yote kwa yote kwakweli sisi zetu ni dua tu
Jammaa walikuwa wametoka Tanga, pia inawezekana hawajazoea high way.
Gari kwenye barabara kuu ni tofauti na kwenda Coco Beach kula Ice Cream.
 
Abood wataalam wa makafara
Kumbe ni kafara. Kuna siku kidogo nipate ajali mbaya sana na basi hilo la Abood. Kosa alisababisha dereva wa basi. Ilikuwa overtake ya kwenye barabara ya lane mbili. Nilishangaa ali overtake upande wa kushoto lakini alibana zaidi kulia huku akitaka nipande ukuta wa barabara. Ilikuwa usiku, sikuweza hata kurekodi namba za hilo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…