Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa -Kahama.

Basi ya FRESTER iliyokuwa inatoka Dar es salaam kulekea Bukoba imepata ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa Kahama.
FB_IMG_1628905663976.jpg
 
Jamaa wanachezea vts wanakimbia zaid ya 85+ kph na barabaran wanahonga trfc wasiwapige tochi ukiwafata nyuma bila ramani utachezea fain njia nzima huku wao wanapeta bila kusimamishwa hyo chuma imetoka dar inaelekea bkb kwa muda huu ni lazma imepita isaka kwenye saa 20.15 inamaana kaham ingeingia saa 21.00 ni speed kubwa sana aliyotembea nayo njia nzima hakustahili muda huu awe hapo ila kwakua ajali imetokea waangalie timetable yake vzur watagundua alikua mwendo kas haswa wanasababshia watu ulemavu na vifo kwasababu ya ligi barabaran
 
Ila wabongo kwa kukuza mambo bhana.... Kabla ya mwaka 2015 gari zilikua zinafika Kahama saa 11 jioni halafu leo unasema ati basi limekimbia speed sana.

Watu mnashindwa kutofautisha kuokoa muda na kukimbia sana. Maximum speed ya mabasi yanayoenda mbali ni speed 110 na hayazidi hapo, labda kuwe na shida ya king'amuzi.

Niishie hapo
 
Nchi inayopambana na tozo kiasi hichi haitakiwi kwenda polepole tunachohitaji ni miundombinu mazingira wezeshi ya kuepusha ajali.
 
Nilipanda Allystars dar to Mwanza nilijuta mwanza imefika saa nne kasoro kwa speed ile nilipofika nilishukuru Mungu.
Kipindi hiki wanakimbia balaa sijui tochi wamesitisha nilishangaa Dom toka dar tumefika saa sita mchana mara ya mwisho kufika mida ile ilikuwa 2009.
Kimoyomoyo nikajisemea chinjachinja ya miaka ile imerudi daah.
 
Ila wabongo kwa kukuza mambo bhana.... Kabla ya mwaka 2015 gari zilikua zinafika Kahama saa 11 jioni halafu leo unasema ati basi limekimbia speed sana.

Watu mnashindwa kutofautisha kuokoa muda na kukimbia sana. Maximum speed ya mabasi yanayoenda mbali ni speed 110 na hayazidi hapo, labda kuwe na shida ya king'amuzi.

Niishie hapo
Hayo mambo ya 2015 ni ya miaka hiyo na hizo speed zilishagharim maisha ya watu gar ilikua bus inaweza kuuwa had watu 20+ kwenye ajal moja sahv n lazma mwendo udhibitiwe na Kuna timetable huyo jamaa hakustahili muda huo awepo hapo kitendo Cha kuwepo hapo na kupata ajali kina tafsiri alikua mwendokasi achukuliwe hatua
 
Jamaa wanachezea vts wanakimbia zaid ya 85+ kph na barabaran wanahonga trfc wasiwapige tochi ukiwafata nyuma bila ramani utachezea fain njia nzima huku wao wanapeta bila kusimamishwa hyo chuma imetoka dar inaelekea bkb kwa muda huu ni lazma imepita isaka kwenye saa 20.15 inamaana kaham ingeingia saa 21.00 ni speed kubwa sana aliyotembea nayo njia nzima hakustahili muda huu awe hapo ila kwakua ajali imetokea waangalie timetable yake vzur watagundua alikua mwendo kas haswa wanasababshia watu ulemavu na vifo kwasababu ya ligi barabaran
Mkuu hiyo ya kucheza na King'amuzi nakubali.
Mimi huwa nina safari angalao 3 kwa mwezi, Dar-Mwanza.
Ikifika saa 12 jioni hapo ndio utaona ukichaa wa hao madereva hasa Kwa kipande cha Kutoka Dodoma kuja Dar unakuta chombo kinatembea 110+ nimeshuhudia Mara nyingi kwasababu huwa nakaa safu ya mbele.
Hii Hunters marcopolo ndio hatari zaidi ikifika mida hiyo
 
Back
Top Bottom