Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Bwembwe zipi izo mkuu ambazo dereva amuoneshe abiria?
Frester wamezidi asee,kuna siku lilipata ajali barabara (maeneo) ya nyakato kutokea phantom ukiangalia hapakuwa na sababu ya kutokea ajali ile sema tuu ujuaji mwingi wa dereva alitaka aoneshe raia mbwembwe zake,
 
Frester road ways tour mnyama ni ya mkurugenzi Fredy Shoo sio ya uyo
Huyu Madelu atakua kapata pesa wapi.
Mabasi ya ESTHER NI YAKE kumbe na Frester. Halafu ana petrol station ukiachilia mbali makampuni Kama EXTRA BET.
SISI ANATUTOZA TOZO
 
Ile kwa kwel cku izi mabasi mengi yanakimbia hasa mida ya jion ,
...Ina maana sisi wenye 'vimkokoteni' vyetu Binafsi vya kuendea nyumbani Tanga, Lushoto, moshi, morogoro, Iringa na kwingineko karibu karibu kwa ajili ya Eid, Pasaka na Krismasi sasa ni roho Mkononi??[emoji45][emoji45][emoji45]
 
...Ina maana sisi wenye 'vimkokoteni' vyetu Binafsi vya kuendea nyumbani Tanga, Lushoto, moshi, morogoro, Iringa na kwingineko karibu karibu kwa ajili ya Eid, Pasaka na Krismasi sasa ni roho Mkononi??[emoji45][emoji45][emoji45]
Inabidi upande tu ndege,😃
 
Hawa jamaa wanakimbia sana wanajisifia kwa kipaza sauti ndani basi hata ukilalamika hawakisikilizi
 
Nadhani jina la eneo lenyewe ni ajali tosha.....
tukisema maneno huumba mtuelewe
Katika miji inayoongoza kwa umalaya Tanzania ukiacha kwenye migodi Kagongwa inachukua namba mbili baada ya Runzewe.
Chalinze inaweza kuchukua namba tatu ikichuana kwa karibu sana na Moro.
 
Mkuu hiyo ya kucheza na King'amuzi nakubali.
Mimi huwa nina safari angalao 3 kwa mwezi, Dar-Mwanza.
Ikifika saa 12 jioni hapo ndio utaona ukichaa wa hao madereva hasa Kwa kipande cha Kutoka Dodoma kuja Dar unakuta chombo kinatembea 110+ nimeshuhudia Mara nyingi kwasababu huwa nakaa safu ya mbele.
Hii Hunters marcopolo ndio hatari zaidi ikifika mida hiyo
Kweli mkuu kuanzia saa 12 jioni hii kipande ya dom-moro-dar basi za mwanza,kahama,shinyanga,bk ni km nyuki ukifika unashukuru Mungu
 
Hatari na nusu
s
Hatari na nusu
Sabaya na Bashite wangekuwa wangwana wangeendeshwa na Hizi land cruiser mpya. Wamepotwza bahati.
c5fe55b4-340f-4dc4-8125-a656d2310ed7.jpg
9a8ea427-01a6-46c2-a566-534c5cc1771c.jpg
 
Back
Top Bottom