Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Frester wamezidi asee,kuna siku lilipata ajali barabara (maeneo) ya nyakato kutokea phantom ukiangalia hapakuwa na sababu ya kutokea ajali ile sema tuu ujuaji mwingi wa dereva alitaka aoneshe raia mbwembwe zake,
 
Nilipanda Allystars dar to Mwanza nilijuta mwanza imefika saa nne kasoro kwa speed ile nilipofika nilishukuru Mungu.
Kipindi hiki wanakimbia balaa sijui tochi wamesitisha nilishangaa Dom toka dar tumefika saa sita mchana mara ya mwisho kufika mida ile ilikuwa 2009.
Kimoyomoyo nikajisemea chinjachinja ya miaka ile imerudi daah.
Naona wadhibiti mwendo kwa mabasi wamelegeza kamba.
Juzi saa tatu na nusu nilimpigia simu rafiki yangu aliyetoka Dar kwenda Bk, akaniambia wamefika Kahama.. Nilishanga!!
 
Taarifa zinasema kuwa basi linalomílikiwa na Kampuni ya
Frester likitokea Dar kwenda Bukoba kimepata ajali maeneo ya Kagongwa Kahama

Taarifa zaidi kuhusu wahanga wa ajali hiyo kutolewa na mamlaka husika

FB_IMG_16288807168772247.jpg
 
Jamaa wanachezea vts wanakimbia zaid ya 85+ kph na barabaran wanahonga trfc wasiwapige tochi ukiwafata nyuma bila ramani utachezea fain njia nzima huku wao wanapeta bila kusimamishwa hyo chuma imetoka dar inaelekea bkb kwa muda huu ni lazma imepita isaka kwenye saa 20.15 inamaana kaham ingeingia saa 21.00 ni speed kubwa sana aliyotembea nayo njia nzima hakustahili muda huu awe hapo ila kwakua ajali imetokea waangalie timetable yake vzur watagundua alikua mwendo kas haswa wanasababshia watu ulemavu na vifo kwasababu ya ligi barabaran
Umemaliza yote hiyo kampuni inaongoza kwa fujo barabarani n speed...kutana nao njiani ndio utajua basi inapanda sekenke kma gari ndogo
 
Frester wamezidi asee,kuna siku lilipata ajali barabara (maeneo) ya nyakato kutokea phantom ukiangalia hapakuwa na sababu ya kutokea ajali ile sema tuu ujuaji mwingi wa dereva alitaka aoneshe raia mbwembwe zake,
Tajiri mchaga ndio anawapa kiburi hao madreva wake,inaonekana anatembeza mlungula kwa mapoti
 
madereva wa mabasi wanajiona wao ndo wamiliki wa barabara
yaani matukio wanayoyafanya kama una roho ndogo waweza shukaa
hapa na hapa wanapiga “ovatekii”
mabasi kama Sauli, Allys, Al saeed na hao walopta ajali
ni nomaaa
 
Nmestuka sana yaaan nmepanda leo frester la kwenda dar nmeshuka dom..sema wakuu hii kampuni wakifika kanda ya ziwa huwaa wanaona kama barabara yao hapo hapo kahama amewahi kumkanyaga kirema kisa anafukuzana na kisbo...
 
Back
Top Bottom