Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

Frester wamezidi asee,kuna siku lilipata ajali barabara (maeneo) ya nyakato kutokea phantom ukiangalia hapakuwa na sababu ya kutokea ajali ile sema tuu ujuaji mwingi wa dereva alitaka aoneshe raia mbwembwe zake,
 
Naona wadhibiti mwendo kwa mabasi wamelegeza kamba.
Juzi saa tatu na nusu nilimpigia simu rafiki yangu aliyetoka Dar kwenda Bk, akaniambia wamefika Kahama.. Nilishanga!!
 
Pole kwa majeruhi, ningekuwa karibu ningeenda kuokoa/kusaidia majeruhi.

Pole pia kwa Frester.
 
Umemaliza yote hiyo kampuni inaongoza kwa fujo barabarani n speed...kutana nao njiani ndio utajua basi inapanda sekenke kma gari ndogo
 
Frester wamezidi asee,kuna siku lilipata ajali barabara (maeneo) ya nyakato kutokea phantom ukiangalia hapakuwa na sababu ya kutokea ajali ile sema tuu ujuaji mwingi wa dereva alitaka aoneshe raia mbwembwe zake,
Tajiri mchaga ndio anawapa kiburi hao madreva wake,inaonekana anatembeza mlungula kwa mapoti
 
madereva wa mabasi wanajiona wao ndo wamiliki wa barabara
yaani matukio wanayoyafanya kama una roho ndogo waweza shukaa
hapa na hapa wanapiga “ovatekii”
mabasi kama Sauli, Allys, Al saeed na hao walopta ajali
ni nomaaa
 
Nmestuka sana yaaan nmepanda leo frester la kwenda dar nmeshuka dom..sema wakuu hii kampuni wakifika kanda ya ziwa huwaa wanaona kama barabara yao hapo hapo kahama amewahi kumkanyaga kirema kisa anafukuzana na kisbo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…