Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

Ni kawaida ya taarifa rasmi kwa na idadi pungufu na tofauti kulinganisha na eneo la tukio. Kwenye ndege ambapo data zote zipo walianza wanatofautiana idadi, Chalamila anataja yake na Precision wanataja yake sembuse kwenye basi ambalo wasafiri kibao humo hawajulikani majina halisi
Idadi itayotolewa ndo hiyo hiyo, hawapunguzi maana si basi lao
 
BREAKING_NEWS[emoji2786][emoji2786]
Basi la Kampuni ya Alseady High Class linalofanya safari zake kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda Tabora limepata Ajali eneo la #Nseneki.
Kwa taarifa ya Awali hakuna Kifo ni majeruhi.

Poleni sana Abiria na Kampuni nzima.
20230807_171356.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni ligi wa upumbavu wa abiria unakuta upo ndani ya gari unamwambia punguza mwendo abaria wengine wanakwambia ongeza huyu mshamba tu kama yule bonge dereva hana maisha marefu wacha wamjaze kichwa.

Mbona kuna gari ukipanda zipo vizuri mwendo kawaida mfano ABC, ngasere
Yule bonge anahangaika na majeraha sasa hivi
Na sidhani kama atarudi Tena kuendesha basi tena.
 
... inaelekea mmiliki wa hii kampuni ni mfuga majini hasa; sio kwa damu hizo yanazokunywa haya madubwana; dah! Kila mwezi ajali? Unacceptable.
 
Hao New Force mbona wanafululiza sana kwa ajali? kila wiki wao tu, ni bahati mbaya au mambo yao ya kishirikina wanatumia damu za wasio na hatia kujinufaisha kibiashara?

Hiyo kampuni nashauri ifungiwe kabisa, this is too much, hawajifunzi!.
 
Back
Top Bottom