Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

Hao New Force mbona wanafululiza sana kwa ajali? kila wiki wao tu, ni bahati mbaya au mambo yao ya kishirikina wanatumia damu za wasio na hatia kujinufaisha kibiashara?

Hiyo kampuni nashauri ifungiwe kabisa, this is too much, hawajifunzi!.
Hakuna cha ushirikina asilimia 85 ni mwendo wa kutoheshimu barabara hiyo 15 ni ubovu wa barabara ila madereva asilimia kubwa ndo wasababishi
 
Sema madereva wa maroli wanaroho nzuri sana ila wangekua wanakaza basi ajali zingukua zaidi kwa mabasi maana overtake za hovyo zinafanywa na mabasi
 
Shida ni ligi wa upumbavu wa abiria unakuta upo ndani ya gari unamwambia punguza mwendo abaria wengine wanakwambia ongeza huyu mshamba tu kama yule bonge dereva hana maisha marefu wacha wamjaze kichwa.

Mbona kuna gari ukipanda zipo vizuri mwendo kawaida mfano ABC, ngasere
Hawa Madereva Wapuuzi wanataka kuturudisha enzi za akina Giriki
 
Mmiliki wa hii kampuni siku akifa watanzania watafanya sherehe:

Serikali imemshindwa sasa tunamshitski kwa mola.
 
Mmiliki wa hii kampuni siku akifa watanzania watafanya sherehe:

Serikali imemshindwa sasa tunamshitski kwa mola.
Kwani kupanda bus la new force ni lazima?

Kama waTanzania wana uchungu sana na mmiliki ya hayo mabus basi moja ya namna ya 'kumkomesha' ni kutoyatumia
 
Dah! New force madereva walevi sana, asubuhi wanaamka na hangover wanakamatia usukani na ujinga wa wanazi kubet, matokeo ndio hayo
 
Back
Top Bottom