Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

Idadi itayotolewa ndo hiyo hiyo, hawapunguzi maana si basi lao
 
Yule bonge anahangaika na majeraha sasa hivi
Na sidhani kama atarudi Tena kuendesha basi tena.
 
... inaelekea mmiliki wa hii kampuni ni mfuga majini hasa; sio kwa damu hizo yanazokunywa haya madubwana; dah! Kila mwezi ajali? Unacceptable.
 
Hao New Force mbona wanafululiza sana kwa ajali? kila wiki wao tu, ni bahati mbaya au mambo yao ya kishirikina wanatumia damu za wasio na hatia kujinufaisha kibiashara?

Hiyo kampuni nashauri ifungiwe kabisa, this is too much, hawajifunzi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…