Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea.

Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena kashafeli majaribio, labda kama gari ndo lilikuwa na shida

​
 
Mwanafunzi itakua kachomesha tu,sijui Kwa nini Hawa ma Lena ukimwambia kanyaga breki ndio kwanza ana kanyaga mafuta!
 
Apigwe Kofi moja Lena na huyo mkufunzi wake.
Baada ya hapo wakatemegemeze bus kwa pesa zao au wakauze shamba.
 

Bila shaka ilikuwa mafunzo ya wale madereva wa mabasi kujua ajali zinavyotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ