mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,018
- 3,009
Tatizo ilo
Kati ya Tabata na Kimarahivi maji chumvi iko wapi?
Swali lako la kipumbavu sana.Ni Kwanini mwanafunzi akabidhiwe aendeshe kwenye barabara kubwa?
Kaka umesahau hata wewe ulikuwa unafanya hivyo wakati unafundishwa?ajali kazini broMwanafunzi itakua kachomesha tu,sijui Kwa nini Hawa ma Lena ukimwambia kanyaga breki ndio kwanza ana kanyaga mafuta!
Dar es Salaam Kubwa sana.Inabidi uwe unapanda tu gari lolote linaloenda kokote usikilize vituo.Ila Maji CHumvi unaingilia hapa Mabibo EPZA unafuata tu hiyo lami mpaka maji chumvi matosa n.k.mpaka unaikuta Morogoro Road.Nafikiri kwawahivi maji chumvi iko wapi?
Dar es Salaam Kubwa sana.Inabidi uwe unapanda tu gari lolote linaloenda kokote usikilize vituo.Ila Maji CHumvi unaingilia hapa Mabibo EPZA unafuata tu hiyo lami mpaka maji chumvi matosa n.k.mpaka unaikuta Morogoro Road.Nafikiri kwawahivi maji chumvi iko wapi?
Mbele kidogo baada ya kupita Sekondari ya Makamba hapa Makuburi Jeshini.Kati ya Tabata na Kimara
Magari ya serikali hayo.Si yana bima?
Hapana Mimi sijawai fanya huu upumbavu ila wengi nilio wafundisha gari kitaa nime experience hii kitu!Kaka umesahau hata wewe ulikuwa unafanya hivyo wakati unafundishwa?ajali kazini bro
Mpumbavu tu ndio ataona nimeuliza swali la kijingaSwali lako la kipumbavu sana.
Barabara zilizo na magari machache ni nyingi. Mjifunzie hukoTujifunzie wapi sasa
huko ni uchochoroni na hiyo barabara haina magari, gari la kufundishia halinaga makosa, poleniNi Kwanini mwanafunzi akabidhiwe aendeshe kwenye barabara kubwa?
umeona kagonga gari? huko ni uchochoroniBarabara zilizo na magari machache ni nyingi. Mjifunzie huko
usinikumbushe nilivyo anguka na baiskeliKaka umesahau hata wewe ulikuwa unafanya hivyo wakati unafundishwa?ajali kazini bro
Ingia njia ya kilungule ,Kimara Korogwe ndani ndani hukoooohivi maji chumvi iko wapi?
Hii ni ile Tabata kutokea Kimara Korogwehivi maji chumvi iko wapi?
Sasa barabara ndogo Hilo basi litatoshajeNi Kwanini mwanafunzi akabidhiwe aendeshe kwenye barabara kubwa?