Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

Ahsante, Don

Sasa mkuu unategemea source gani ya income itakayokuwezesha kuendana na kasi ya hapa Daslama?

Nimeuliza hivi nikiwa nafahamu hujishughulishi tena na kazi ya ualimu ambayo ilikua primary source yako ya income.
 
Mbona kama marcopollo paradiso hiyo au macho yangu
 
Kwani hao wengine wanaishije?
Hao wengine siwafuatilii

Nakufuatilia wewe, na nimekua nikikushabikia kwa karibu 10 years sasa.

Usisahau mimi ni fan wako wa kuanzia 'Nimepata dem' mpaka 'Congratulation'

Kwa minajili hiyo ndo maana ningependa kufahamu plan ikoje, ni mziki tu ama kuna fani zingine unataka ujaribu hapo dar?

Hivo ndivyo shabiki hufanya kwa wasanii wao. mfano; mimi ni shabiki wa R Kelly pia kwa nchi za huko ng'ambo

Kwa hivyo nimekua yeye pia nikimfuatilia kujua progress zake....kesi na mengineyo.
 
Reactions: amu
Vipi ulifika salama daslam? Naona upo kimya sana kiongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…