Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

Ahsante, Don

Sasa mkuu unategemea source gani ya income itakayokuwezesha kuendana na kasi ya hapa Daslama?

Nimeuliza hivi nikiwa nafahamu hujishughulishi tena na kazi ya ualimu ambayo ilikua primary source yako ya income.
 
BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA.

Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti. Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye gari wakanikabidhi Nyaraka zangu na Pesa Kama zilivyo. Kazi nzuri aliyoifanya Dreva mwenyewe ambaye ndiye aliyeniokoa.....Ubarikiwe Sana Dreva wa Basi la SATCO, ni Mabasi mangapi wanauaminifu Kama huu@DODOMA-DON NALIMISON.

View attachment 1537723
Mbona kama marcopollo paradiso hiyo au macho yangu
 
Kwani hao wengine wanaishije?
Hao wengine siwafuatilii

Nakufuatilia wewe, na nimekua nikikushabikia kwa karibu 10 years sasa.

Usisahau mimi ni fan wako wa kuanzia 'Nimepata dem' mpaka 'Congratulation'

Kwa minajili hiyo ndo maana ningependa kufahamu plan ikoje, ni mziki tu ama kuna fani zingine unataka ujaribu hapo dar?

Hivo ndivyo shabiki hufanya kwa wasanii wao. mfano; mimi ni shabiki wa R Kelly pia kwa nchi za huko ng'ambo

Kwa hivyo nimekua yeye pia nikimfuatilia kujua progress zake....kesi na mengineyo.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom