Tetesi: Basi la Tabora One latekwa kwenye pori kati ya Itigi na Tabora usiku wa jana

Wataalamu wa IT toka Rwanda kuja kuivua tz gagulo, Usalama wa wadanganyika upo mikononi mwa tuts tz ni shamba la bibi
Nafikiri ni igunga kwakuwa mimi hiyo njia mimi sijaitumia ila igunga nimepiga sana mapande ya kuku wa kienyeji
 
Asante mkuu lakini kumbe hii ni polisi ya Tanzania
Polisi ya Tanzania haijawahi kuwa na sirias na mambo ya usalama Bali inajishughulisha na siasa

Sasa utawaamin?

Inatia hasira sana. Halafu ni kama hawaoni kuna athari za kiuchumi pia. Kwa mfano hili zuio la safari za usiku. Mtu anayetoka mkoani kuja dar..analazimika kutenga siku moja ya kusafiri kuja dar...siku nyingine ya kufanya shughuli zake dar..na siku nyingine ya kurudi kwake. Hapo na siku 3 ametumia...na hoteli kalipa siku 2. Safari za usiku zingeruhusiwa...angesafiri usiku...akafika dar asubuhi...akafanya shughuli zake...akageuza tena usiku. Hiyo ni siku moja tu katumia na hana haja ya kulipia hoteli. Sasa eti majambazi ndio yanatuingiza gharama hizi za ziada..na jeshi la polisi tunalo. Wenzetu afrika mashariki na kusini mwa africa wao usiku wanasafiri na mambo ya ujambazi ni mara chache sana kusikia. Yani inasikitisha mno.
 
Mbaya sana kama ujambazi huo umerejea.Duu Tabora One anapigwa vita sana njia hiyo ya tabora na mmiliki mkongwe wa njia hiyo,pia mmiliki wa tabora one alifariki miezi michache iliyopita basi ni balaa tupu.Waliobaki wasikate tamaa
Nani mkongwe wa hio njia.??
Na sababu za kifo ni nini.??
Alikua muarabu.?
 
Siamini ka tabora moja napitia njia ya itigi kwa sababu ana gari luxury mbili na huwa anapitia nzega ilikuweje apitie huko na wakati hata tlb yake inaonesha anatakiwa kupitia singida mjini? nina mashaka na hii taarifa labda unambie ni bus la kampuni nyingine?
 
Bwashe, una maonooo.....unazungumzia PT au FBI????
 
Mkuu tabora moja anatumia hiyo njia ya itigi kwa macho yangu nimeshuhudia wala hutakiwi kuweka ubishi hapo
 
Ila ukipita pale njia panda ya manyoni, unaona lami imejengwa au bado haijafika tabora
Mkuu ni vipande vipande haijafika hadi tabora,ndiyo maana hao majambazi wanatumia udhaifu huo
 
Kwa hilo nawapongeza sana kenya wameweza
 
Kaka nzega unazunguka sana but iyo njia ya itigi ndio shortcut na unawahi sana kufika tabora
Kilo mita ni sawa labda wingi wa abiria ila hio njia ya itigi manyoni tabora inatisha nilitembea masaa ma 4 network ya simu hamna
 
Kwa Tanzania yetu hakuna njia iliyo salama 100%, ukisafiri usiku hatari ni kubwa au tuseme usalama ni sifuri, ukisafiri kupiti msituni ni hatari hata kama ni mchana
 
ilo poli toka itigi mpka kigwa hakuna mtandao wowote unaopatikana na mnatembea kma masaa 3 au 4 hamuoni kitu zaidi ya miti tu but kwa sasa kuna vipande vina rami
Umenena kweli akiwa na bahati atapishina na vifutu na black mamba basi (nyoka), dawa chimba Itigi au Kigwa labda dawa ya kaharibu hewa kwenye gari ndio unaweza kuchimba hapo tena ikibidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…