Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]
Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]
Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app