Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kusema hilo basi bado ni mali ya simba! Na hivyo hii taarifa ni ya uzushi? Maana sijaona kama ni tatizo kwa huyo mtoa mada kutoa maelezo tofauti.Mtu mwenye akili zake atagundua kwamba umejichanganya mno, maana ulianza kusema Simba waliuziwa hilo basi, umekuja tena na hii ya kusema Simba walipewa na mdhamini. Sasa tukuamini kwa lipi, walipewa au waliuziwa? Je, wadhamini huwa wanauza zawadi ya udhamini?
Hapana, sio taarifa ya uzushi bali ni ya kweli kabisa, na ukweli ndio huo kwamba bus lilikuwa mali ya mdhamini, akaipa bure Simba kwa mkataba wa udhamini, Simba ikashindwa kulipa kwa wakati deni la ununuzi wa bus ililodhaminiwa, mdhamini akalikamata mpaka deni litakapolipwa huku akiendelea kuidhamini SimbaKwa hiyo unataka kusema hilo basi bado ni mali ya simba! Na hivyo hii taarifa ni ya uzushi?
source basi halipo,watu wanatumia coasterSource
Kumbe Tangu limekamatwa lina mwezi sasa. Sasa mbona wanatwambia lipo matengenezoni.Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]
Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]
Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kumbe Tangu limekamatwa lina mwezi sasa. Sasa mbona wanatwambia lipo matengenezoni.