Tetesi: Basi la timu ya Simba linashikiliwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa basi hilo

Tetesi: Basi la timu ya Simba linashikiliwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa basi hilo

Kumbe mlienda na Kamwana kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmekwisha
Soon mtapanda carry
Mjinga akija kukuomba ushauri, utamshauri kutokana na ujinga aliokuja nao.
 
Kanjibhai Kanjibhai tafadhali usitutafute
 
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]

Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]

Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Toa chanzo na suala la singida kutumia kamwana huitaji degree km profesa muhongo
 
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]

Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]

Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Punguza kula mihogo ,kenge wewe
 
Huu ulikuwa Mkopo bhana.

Mlizugwa tu.

Sababu ni wapi Simba anaitangaza Aafricarriers ?

Miutopolo mshaambiwa mwenye akili hukoni Jk pekee!
Mnakurupuka tu...!!
Mkataba unaujua...?
IMG_0060.jpg

Hizo chata za Africarriers kwenye nguo walizovaa siyo matangazo?
Ukiangalia mechi za simba wanazochezea uwanja wa nyumbani, mabango ya Africarriers yapo, hayo si matangazo?
 
Baada ya kushindwa kukodi ndege kama walivyofanya simba sasa mmeona mje na story ya bus ili mbalance story uzuri viongozi wa simba hata wasikie propaganda gani wao mara zote huamua kukaa kimya kwasababu wanajua wanachokifanya.
 
Walikubaliana kulipa Kwa installments ila mpaka Sasa Makolo hawajalipa installment Hata Moja
Wewe mtaani unafahamika kama mwajuma kunuka chupi mkononi! Tabia za uzushi na kunyukwa ndio maisha yako huna jipya!!Tunga uzushi mwingine matako yalie bwii.
 
Inawezekana taarifa za mleta bandiko zipo sahihi maana Leo Simba wameingia uwanjani na Costa nadhani itakua ya kukodi.
Ingekua vyema wangetumia basi la Simba queen [emoji146] kwakua halina madeni Kwaiyo uwezekano wa kukamatwa ni mdogo.
 
Uwanja wa ndege wa Singida unaujua? Timu ilipanda ndege mpaka Dodoma kisha ikapanda basi kutoka Dom to Singida, sasa hizo hbr zako unazitoa wapi?
 
Uwanja wa ndege wa Singida unaujua? Timu ilipanda ndege mpaka Dodoma kisha ikapanda basi kutoka Dom to Singida, sasa hizo hbr zako unazitoa wapi?
Naleo uwanja wa Taifa Simba hawakuja na basi lao lililo zoeleka.
 
Hebu kwanza mtoa mada ungenyoosha maelezo! Hilo basi si walipewa na mdhamini Africarriers kama sehemu ya mkataba wao!

Sasa hayo malipo ya installment yanaingiaje tena kulipia basi walilopewa bure na mdhamini kwa makubaliano ya kutangaza biashara ya Kampuni kupitia hiyo klabu ya simba? Yaani unataka kusema hilo basi waliuziwa, au walidhaminiwa?
Hawa uto akili zinascratch

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hebu kwanza mtoa mada ungenyoosha maelezo! Hilo basi si walipewa na mdhamini Africarriers kama sehemu ya mkataba wao!

Sasa hayo malipo ya installment yanaingiaje tena kulipia basi walilopewa bure na mdhamini kwa makubaliano ya kutangaza biashara ya Kampuni kupitia hiyo klabu ya simba? Yaani unataka kusema hilo basi waliuziwa, au walidhaminiwa?
Habari yake Ina utata
 
Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia.

Bus walilopewa na africaceries ndilo wamechukua

Mtu mwenye akili zake atagundua kwamba umejichanganya mno, maana ulianza kusema Simba waliuziwa hilo basi, umekuja tena na hii ya kusema Simba walipewa na mdhamini. Sasa tukuamini kwa lipi, walipewa au waliuziwa? Je, wadhamini huwa wanauza zawadi ya udhamini?
 
Simba walidhaminiwa basi, hawakukopa basi
 
Back
Top Bottom