Tetesi: Basi la timu ya Simba linashikiliwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa basi hilo

Walikubaliana kulipa Kwa installments ila mpaka Sasa Makolo hawajalipa installment Hata Moja
Mkuu kama Mkataba bado haujaisha basi bus bado la simba wawe wamelipa au hawajalipba simba inapaswa kukamilisha malipo pale yu Mkataba utakapokuwaumefika tamati
 
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]

Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]

Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wenxio wanagawana vitaru vya madini sayari ya mars na mwezini wewe umenunua bando kuelezea umbea wa mabasi ya Simba,mbona serikali yenyewe inadaiwa matrilioni wala huoni kama ni issue
 
Jifunze kuandika Vzr then urudi
 
Hi
Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]

Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]

Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Basi la simba la lililotolewa(sio kununuliwa) na africarries tuliliona na likatumika. Kuna alieona lile la yanga? Au lilikua linatumika mtandaoni
 
Kwa Taarifa Yako:-
1. Simba SC ilienda Singida na bus Kamwana kwa kua toka Dar mpaka Dom ilipanda mwewe.. Toka Dom to Singida iliona haitapendeza kuagiza bus tupu toka Dar mpaka Dom ili liwapeleke Singida.
2. Mnami 24/9/2021 Simba SC ilisaini mkataba na kampuni ya
Africarriers ambapo walitoa basi kubwa aina ya Golden Dragon la kisasa lenye uwezo wa kubeba abiria 60 kwa timu ya wakubwa,
Eicher yenye uwezo wa kubeba watu 35 kwa ajili ya Timu ya Wanawake na Costa kwa ajili ya Timu ya Vijana.

View attachment 2413146
Huu ulikuwa Mkopo bhana.

Mlizugwa tu.

Sababu ni wapi Simba anaitangaza Aafricarriers ?
 
Uchumi wa nchi na Uwezo wa mtu kubwabwaja nadhani ni vitu viwili tofauti.

Angalia uwezo wa wanasiasa kubwabwaja kisha fananisha na uchumi wa nchi, majibu unayo!

Nadhani Simba kuwa wa kimataifa sio kwasababu ya uwezo wa fedha za kifisadi kama timu nyingine, ni kabumbu lao uwanjani.

Upande huo tuwasifie tu watani wako.
Lile kabumbu la yanga la juzi hukuliona
 
Hi
Basi la simba la lililotolewa(sio kununuliwa) na africarries tuliliona na likatumika. Kuna alieona lile la yanga? Au lilikua linatumika mtandaoni
NI MKOPO ULE WEWE.

Africarriers wanafaidika nini pale, wana matangazo?
 
Kwa hiyo Mliposikia mkataba mkajua mmepewa bure?

Hata mkopo una Mkataba, klavier haikuweka wazi ile ishu.

U Sipo Lipia instalment inajulikana nini kinafuata
 
Jifunze kuandika Vzr then urudi
Mpaka hapo ujumbe umekufikia.Mtu mzima sina la kujifunza,acha mambo ya watu,I remember last time niliona wazungu wanapiga makofi baada ya kufika safari,ila sisi hata ifanyike nini Kazi yetu kutafuta mabaya kulalamika,mvua imeona isiwe shida imetia mgomo.Check the whites kila muda wanasoma vitabu kuongeza maarifa sisi tunapimana kwa majungu.This is Mean,in full set
 
Kwa Taarifa Yako:-
1. Simba SC ilienda Singida na bus Kamwana kwa kua toka Dar mpaka Dom ilipanda mwewe.. Toka Dom to Singida iliona haitapendeza kuagiza bus tupu toka Dar mpaka Dom ili liwapeleke Singida.
2. Mnami 24/9/2021 Simba SC ilisaini mkataba na kampuni ya
Africarriers ambapo walitoa basi kubwa aina ya Golden Dragon la kisasa lenye uwezo wa kubeba abiria 60 kwa timu ya wakubwa,
Eicher yenye uwezo wa kubeba watu 35 kwa ajili ya Timu ya Wanawake na Costa kwa ajili ya Timu ya Vijana.

View attachment 2413146
Mwamba hujapepesa umempa na marejeo kabisa huyu mla mihogo
 
Wale ni wadhamini wenza simba ya wanawake na wanaume na wanatangaza magari ya TATA. Hiyo ndo faida ya kuwa timu kubwa unalipwa kwa kutumia brand yeyote kama timu yenu inalipa... one day mkikua mtalipwa 😂😂😂
Unaambiwa Mmekopa gari limezuiwa, we unaleta lononi
 
Back
Top Bottom