Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Majembe auction martSource
Kwani b.26 za m.bet zimeshindwa kulipia mkopoWakuu Taarifa iliyopo Ni Kwamba Watani Kwa Sasa Hawana Bus Baada Ya Bus Lao Kukamatwa na Dalali aliyeagizwa Kampuni iliyowauzia bus
.
Bus limekamatwa Baada ya Simba kushindwa kulipa Deni Kwa Kampubi iliyowauzia [emoji28][emoji28]
.
Kwa Sasa Team ya Simba Inatumia Bus la Kamwana Kwenye Safari Zao na Hata Juzi Wameenda Singida na Hilo Bus la Kamwana.
.
Eti Team Kubwa Na Team ya Kimataifa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]
.
Unajitapa Uko Kwenye rank #14 kwa vilabu Bora Afrika Huku unashindwa Kulipa Mkopo Wa Bus Lako, Mtawakumbuka SportPesa[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
View attachment 2413078
Zipo wapi? Hakuna KituKwani b.26 za m.bet zimeshindwa kulipia mkopo
Hapa ukiweza kufafanua mkuu utatusaidia sana.Zipo wapi? Hakuna Kitu
Tukisema kwamba Mwamedi ni tajiri wa mchongo muwe mnatuelewa jamani.Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]
Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]
Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa Taarifa Yako:-Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28]
Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye safari zao na hata juzi wameenda Singida na hilo basi la Kamwana. Eti timu kubwa na timu ya kimataifa! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316][emoji1316]
Unajitapa uko kwenye nafasi ya #14 kwa Vilabu Bora Afrika huku unashindwa kulipa mkopo wa basi lako, mtawakumbuka SportPesa.[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bus walilopewa na africaceries ndilo wamechukuaEmbu kwanza simba na yanga walipewa mabus na TBL, yale yako wapi pua kuna bus wemepwa na mdhamamini africaceries sijui ndivyo inavyoandikwa wewe unasemea bus lipi?
Lile bus kwani Mkataba umeisha?Bus walilopewa na africaceries ndilo wamechukua
Walikubaliana kulipa Kwa installments ila mpaka Sasa Makolo hawajalipa installment Hata MojaLile bus kwani Mkataba umeisha?