Tetesi: Basi la timu ya Simba linashikiliwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa basi hilo

Toka vyura wala mihogo waingie makundi ya kombe la losers wanajiona kama wameshakuwa champions
 
Kwenye maelezo yako ulipowrka neno ' Eti' basi nikadharau.
 
Walikubaliana kulipa Kwa installments ila mpaka Sasa Makolo hawajalipa installment Hata Moja
Hebu kwanza mtoa mada ungenyoosha maelezo! Hilo basi si walipewa na mdhamini Africarriers kama sehemu ya mkataba wao!

Sasa hayo malipo ya installment yanaingiaje tena kulipia basi walilopewa bure na mdhamini kwa makubaliano ya kutangaza biashara ya Kampuni kupitia hiyo klabu ya simba? Yaani unataka kusema hilo basi waliuziwa, au walidhaminiwa?
 
Unaleta habari za yule taahira wa Instagram Daud yanga. Utopolo.
 
Hawajawahi kupewa na mdhamini Habari ya kupewa ilikuwa geresha tu ya Simba kuonekana Wana mdhamini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unatuambia kuwa Simba walipandia basi Airport kuelekea Singida? Tumia akili walau kidogo ulizopewa.
 
Lile kabumbu la yanga la juzi hukuliona
Jihad uongo!

Msemaji alisema lile ni kombe la loosers, imekuaje tena wamekaza uno ili kufuzu kombe la loosers?

Ingawa wanasema wale jamaa ndo zao kugongwa Home na kutolewa kila leo, ila sio mbaya kusifia endapo miongoni mwa wanyonge kukiwa na nyapara!
 
Ila Mbeya Linaenda Basi tupu, hapo Singida wameshindwa au sio?? We jamaa ni mbumbumbu
 
Msemaj ndo nani yanga
 
Simba hawajanunua basi Simba wali0ewa basi na Africariers
 
Ila Mbeya Linaenda Basi tupu, hapo Singida wameshindwa au sio?? We jamaa ni mbumbumbu

We topolo Simba SC alishavuka level za kwenda na bus safari ndefu. Leta ushahidi Bus limeenda tupu mbeya.
 
Utasikia tumeingiza Mil 469
 
Kumbe mlienda na Kamwana kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmekwisha
Soon mtapanda carry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…