Tetesi: Basi la timu ya Simba linashikiliwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa basi hilo

Hilo basi ni la mkopo au lilitolewa na moja kati ya wqdhamini? Ni ujinga kuaminisha mtu kuwa kupanda ndege safari zote mwaka mzima ni hela ndogo kuliko kununua yutong
 
Kwa hiyo unataka kusema hilo basi bado ni mali ya simba! Na hivyo hii taarifa ni ya uzushi? Maana sijaona kama ni tatizo kwa huyo mtoa mada kutoa maelezo tofauti.

Kitu muhimu hapa ni kuhusu basi la timu!
 
Kwa hiyo unataka kusema hilo basi bado ni mali ya simba! Na hivyo hii taarifa ni ya uzushi?
Hapana, sio taarifa ya uzushi bali ni ya kweli kabisa, na ukweli ndio huo kwamba bus lilikuwa mali ya mdhamini, akaipa bure Simba kwa mkataba wa udhamini, Simba ikashindwa kulipa kwa wakati deni la ununuzi wa bus ililodhaminiwa, mdhamini akalikamata mpaka deni litakapolipwa huku akiendelea kuidhamini Simba
 
Kumbe Tangu limekamatwa lina mwezi sasa. Sasa mbona wanatwambia lipo matengenezoni.
 
Basi letu lipo gereji, tumeagiza spea tunazisubiria!
 
Kumbe Tangu limekamatwa lina mwezi sasa. Sasa mbona wanatwambia lipo matengenezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…