Hahahahah anafikiria mti ni kama kugonga kifusi cha PopCorns au mapakti ya Chama.๐๐๐๐๐๐ huko kwenye mamomentum utazidi kumchanganya ataona kichina tu,huyu inabidi twende nae kwa swaga za kibuza buza tu๐
Mwambie hiviii....unakumbuka ajali ya sharo milionea๐ฏ? Yule aligonga mti na habari yake ikaishia pale pale!!!
Lazma useme "Maaa weee!!!"Sasa hapa ndo una kijigari chako umekitoa show room hata wiki hakina alafu unakuta na hii pini !!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Sio mtu wa Moshi ila wale jamaa na mji wao ni next level mkuu
Natamani lile tukio la Tundu lissu kupigwa shaba CCTV footages zingeachiwa fasta kama tukio hili la ajaliUkiacha hilo janga nimependa hizo CCTV camera hilo eneo tumeweza kuona live kilichotokea bila kusimuliwa natamani zingekua karibu maeneo yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko MoshiNaona chupa za bia eneo la ajali
alafu show room umetoa advance 40% unadaiwa 60%,Lazma useme "Maaa weee!!!"
Tunaiomba serikali ya awamu ya tano isambaze camera hizi kama za Moshi nchi nzimaNatamani lile tukio la Tundu lissu kupigwa shaba CCTV footages zingeachiwa fasta kama tukio hili la ajali
Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza kubali tu kuwa umeshindwa!!
MTU mzima akivuliwa nguo,hasimami bali huchutama!
Blaza kubali tu kuwa umeshindwa!!
MTU mzima akivuliwa nguo,hasimami bali huchutama!
Unaona sasa ulivo. Hukuwa na taarifa wala uelewa sahihi, heri ukae kimya kuliko kujichoresha hapa. Kwani kuna tuzo utapokonywa ukikubali kushindwa?Nimeshindwa kitu gani?
Kwani tuko kwenye mashindano ya kutafuta mshindi?
Au ni majadiliano na uchambuzi wa mada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona sasa ulivo. Hukuwa na taarifa wala uelewa sahihi, heri ukae kimya kuliko kujichoresha hapa. Kwani kuna tuzo utapokonywa ukikubali kushindwa?
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Hivi ni mimi tu ninayekuona kuwa unajifanya much know sana au kuna wengine. Hebu cheki humu ndani wangapi wamekupinga, then cheki uko 'kibaruani' kwako maana kwa akili ulizonazo sitarajii kama umeajiriwa au kujiajiri- jibu kaa nalo. Unanistahi unanifahamu?? Taja mimi nani na kama hunijui utaweza vipi kunistahi wakati hujui chochote kuhusu mimi. Jishtukie unajivua nguo, afu nani alikudanganya una akili kubwaNijibu kwa hoja !
Acha ubabaishaji.
Wewe huwezi shindana na mimi kwa hoja hata sekunde !
Mimi siyo wa viwango vyako.
Nafanya kukustahi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Laiti ungejua kilichotokea kwenye gari,na alichofanya dereva usingepiga ramli zako,Hizo ngoma zinafukuzagwa over speend hata katikati ya mji bila kujali alama za barabarani za 50kmph kutembelea mjini zinavyoelekeza.
Angelikuwa na mwendo wa 'kistaarab', kosa lolote la kiufundi lisingeweza kusababisha kuparamia magari yote hayo!
Halali yenu huyo dereva mvuta bhangi, mhangaike naye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni mimi tu ninayekuona kuwa unajifanya much know sana au kuna wengine. Hebu cheki humu ndani wangapi wamekupinga, then cheki uko 'kibaruani' kwako maana kwa akili ulizonazo sitarajii kama umeajiriwa au kujiajiri- jibu kaa nalo. Unanistahi unanifahamu?? Taja mimi nani na kama hunijui utaweza vipi kunistahi wakati hujui chochote kuhusu mimi. Jishtukie unajivua nguo, afu nani alikudanganya una akili kubwa
Sent from my PBCM30 using Tapatalk