Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Naona jua limepunguaaa na mic 🎤 imenifikiaaaaa ... Naanza kutuma samaleko zangu kwa Kijana masikini

Popote ulipo utambue Mimi ni Mtumishi wa Mungu 😂😂😂

Nakuombea mafanikio makubwa 2025
Nipo mtumishi, naomba kabla ya kuniombea mafanikio niombee kwanza nimpate, mwanamke chibonge kama ephen_

atakaeweza kunyanyua hayo mafriji na masofa wakati tunahamia kwenye nyumba yetu mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…