Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Madame B samaleko samaleko oooooooooo

Zikufikie popote ulipo, Mungu akupe afya njema, mafanikio tele na amani ya moyo!

Ujumbe: Mwambieni ex Wangu, namkumbuka sana ila simtafutiii ng'o na hela za mirathi nimezipokea janaaa!
 
Quan Lup quantum no

Kwani nyie kati yenu aliyeambiwa fuata mambo yako ni nani? Maana nataka kumtumia samaleko zangu.

Samaleko samaleko sijalewa!

Ujumbe: Ukiachwa na demu, jua Mungu amekupunguzia gharama na matumizi
 
Samaleko zangu zimfikie mh. pole pole huko cubaaaaaaaa!

Sina nauli Mjombaa ila ningekujaaa!

KATAA WAHUNI ... WAHUNI WAMECHOMA JENGO LA TRA JANA
 
Back
Top Bottom