Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Hivi Dom kumbe kunasehem ya urojo.🙄🙄 Mi siwezi kushawish mtu. Tafuta wakukushawishi nimtume Mimi🤔
Nunua urojo mpe boda aniletee ndio ushawishi huo.

Kule Nyerere square, Chef asili iliyo mkabala na Asas dairy store ukiwa pale angalia upande wa pili wa barabara kuna restaurant wanauza ice cream na urojo.
 
Back
Top Bottom