SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nimeambiwa wewe ni mnene sana basi ni kaassume uko hivyooHii wekend nalala tu mama. Mpaka muda huu sijalipwa mshahara wangu wa mwezi wa kwanza kutokana na hii kazi yangu ya ulinzi. Yaani hata hela ya kununulia tu chupa moja ya mnazi, nimekosa.