Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Hii ni kada gani hapa nchini?

FB_IMG_16708264903883268.jpg
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Ni huzuni
Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Ni huzuni
Kwani mkopo alilazimishwa kuchukua? Lazima aulipe pesa alisha itumia kwa mambo yake anao jua mwenyewe.
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Ni huzuni
Therasini siyo nini makalio wewe!?..mkopo alifanyia nini!?.. tatizo man tamaa,wazee waliishi kwa mishahara hiyo
 
Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mungu ulianza kama mchicha
Miaka gani hio Sasa mkuu? Maana mimi Kuna document za marehemu Mzee wangu niliwahi kuona alikua analipwa 1300/= ..... Na miaka hio kuna shamba( sa hivi ni mjini nimepima viwanja) la zaidi ya Heka kumi alinuua Kwa sh 11000/=

Sasa maisha ya sasa hivi ukilipwa take home 65,000 ukinunua dumu la mafuta Lita 5(35000) na kujaza mtungi mdogo wa gesi Hela inakua imekata, utaishije mjini....?
 
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,

Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!

Ni huzuni

Therathini ndio kitu gani?
 
Back
Top Bottom