Maisha ni siri.Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Ni huzuni
Lazima hata mimi ningekuwa Chawa tuKuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Ni huzuni
Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salaryKuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Ni huzuni
Kwani mkopo alilazimishwa kuchukua? Lazima aulipe pesa alisha itumia kwa mambo yake anao jua mwenyewe.Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Ni huzuni
Therasini siyo nini makalio wewe!?..mkopo alifanyia nini!?.. tatizo man tamaa,wazee waliishi kwa mishahara hiyoKuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Ni huzuni
Miaka gani hio Sasa mkuu? Maana mimi Kuna document za marehemu Mzee wangu niliwahi kuona alikua analipwa 1300/= ..... Na miaka hio kuna shamba( sa hivi ni mjini nimepima viwanja) la zaidi ya Heka kumi alinuua Kwa sh 11000/=Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mungu ulianza kama mchicha
Mna tamaa, mnataka tv bapa inchi 55,home theater,smart macho matatu na iwe na bando mwezi mzima,nguo nzuri ubadili kila mwezi, maisha hayako hivyo pumbaavu nyinyiKwa hiyo pesa stress na wizi na rushwa haviishi serikalini
Unenaliza na kushindana kula nyama kazini kula chakula cha 7000 kwa mchana tu na hashibiMna tamaa, mnataka tv bapa inchi 55,home theater,smart macho matatu na iwe na bando mwezi mzima,nguo nzuri ubadili kila mwezi, maisha hayako hivyo pumbaavu nyinyi
Mungu alianza kama mchicha sioFanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mungu ulianza kama mchicha
Hizi simu ,imefanya auto correct,ukicheza kidogo unaweza tukana mamaMungu alianza kama mchicha sio
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Ni huzuni