Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

Aliyekuwa MKUU wa Wilaya ya Korogwe ambaye amewekwa kando katika uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, Basila Mwanukuzi amesema kwenye uongozi wake kuna jambo kubwa la kujifunza ikiwemo kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote hata ikibidi kukosa cheo.​

Hii ni sehemu ya andiko lake kupitia Ukurasa wake wa Instagramu.​

Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)

2.. Pili kuleta matokeo

Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'

3. Kuleta matokeo kwa wakati​

Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.

Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI

HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")​

1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)

FAIDA​

Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo

SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri

Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa​

Atakosa Utamu Wa V8 Na Kutembea Na Police Tanzania
Kila kazi itapimwa!

Hatujifanyii kazi sisi, bali tunaowaongoza! Wakiwa na maisha magumu kwa sababu ya uzembe wetu! Jambo hili halitaishia tu hapa duniani,

Ni vigumu mno kiongozi kukosa kesi ya kujibu ikiwa alisababisha watu wafe kwa sababu tu alishindwa kusimama kwa nafasi yake!

Ni vigumu mno kwa mtu ambaye ameiba madawa ya binadamu kisa tu apate pesa kwa manufaa yake na wakati huo huo wagonjwa wafe kwa kukosa hizo dawa! Lazima majanga haya atakutana nayo mbele ya safari

Tuwasaidieni watu tunapokuwa ktk nafasi tulizopewa!
 
Na Basilla Mwanukuzi

KUNA CHA KUJIFUNZA

Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)

2.. Pili kuleta matokeo

Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'

3. Kuleta matokeo kwa wakati
Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.

Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI

HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")
1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)

FAIDA
Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo

SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri

Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa
Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa

Instagra: basillamwanukuzi
Pole dada, ndio serikali inavyo operate.
Rushwa, ulaji, backbiting, kujikomba,kufunika wengine, kubambika tuhuma na kesi za majungu.
Hayo nasi yalitupata miaka mingi, bahati nzuri mimi aliyenifanyia ubaya huo aliomba msamaha kabla hajafa.
 
Na Basilla Mwanukuzi​

KUNA CHA KUJIFUNZA​

Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)​

2.. Pili kuleta matokeo​

Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'​

3. Kuleta matokeo kwa wakati​

Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma​

HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.​

Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.​

Uongozi ni UJASIRI​

HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")​

1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)​

FAIDA​

Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo​

SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri​

Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa​

Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa​

Instagra: basillamwanukuzi
Kuna kazi ukikubali kuzichukua ni kama kuuza nafsi yako. DC ana mamlaka gani ya kuleta mabadiliko?

Job description ya DC ni ipi kimaana? DC ni kasuku wa kuimba na kuigiza sauti za watawala si vinginevyo unless angekua kwenye nafasi za maamuzi ambako nako hutegemea sana mwelekeo wa aliyeshika mpini ndo maana wale wale walioamini katika ufashisti wa Magufuli leo wanaimba amani na demokrasia.

Nilimdharau sana Basila alipokubali cheo cha DC na kwenda porini huko Korogwe na kuacha biashara zake za maana huko Dar...

Midhali alikubali kutumikia cheo cha hovyo nayeye ni wa hovyo tu!
 
Na Basilla Mwanukuzi​

KUNA CHA KUJIFUNZA​

Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)​

2.. Pili kuleta matokeo​

Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'​

3. Kuleta matokeo kwa wakati​

Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma​

HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.​

Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.​

Uongozi ni UJASIRI​

HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")​

1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)​

FAIDA​

Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo​

SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri​

Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa​

Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa​

Instagra: basillamwanukuzi
Kwanza asante kwa uzi huu!, pili niko very proud kwa huyu Dada!, mimi ndie MC wake alipotwaa taji ya Miss Tanzania, watu open na honest wa aina hii ndio watalisaidia taifa letu kusonga mbele tutoke hapa tulipo, tufike kule tunakopaswa kwenda.

Andiko hili ni very philosophic, kama Rais Samia ni philosopher, atamtafuta huyu dada ili ampe A-Z ya what really happened!. If she is not, then she can keep trusting her machinery, ila huyu dada Basila Mwanukuzi, is woman of integrity, a woman of substance!, I'm very proud of her!.

Dear Basila, stand firm for what you believe in and stand for, for your integrity u DC ni kitu kidogo sana!. Keep on being yourself, The Basila we know and God will elevate you to your deserving position.
P
 
Na Basilla Mwanukuzi

KUNA CHA KUJIFUNZA

Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)

2.. Pili kuleta matokeo

Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'

3. Kuleta matokeo kwa wakati
Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.

Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI

HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")
1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)

FAIDA
Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo

SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri

Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa
Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa

Instagra: basillamwanukuzi

Huu ni Mwansile wa dada Basila au kaandikiwa na swahiba wake Siriel MCHEMBE nimekaa paleeee[emoji1314][emoji1314][emoji1314]
 
Duh ulitaka aandikaje mkuu embu sahisha makoza yake tuone Ni yapi

Mnk unakuwa mjinga San

Mm huyu nimemuelewa Ni mbaya Kama hajasevj peza na Wala Hana miradi ya maana hapo lazm chuchu zake ziume

Ila Kama Ana apartment zake ddm au Arusha na mwanza bas Wala asiwaze kazi inendelee

Mm sitaki ujinga nnchi hi Ni magufuli ndio alikuwa kidgo aliwezeaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Vilaza hamuwezi kuelewa.

Hatutegemei kiongozi mkubwa wa ngazi ya Ukuu wa Wilaya asijue Kiswahili fasaha!

Nitakutajia baadhi ya makosa aliyoyafanya, mbwiga wewe:
masilahi

2.

kuwa

ikuwa

ili hali

halafu

masilahi

kuimagine
ku-imagine

kwa ufupi

utakuwa

masilahi

una nguvu

unakoishia

uki-deal

watakuwa

masilahi

Kimsingi makosa ni mengi sana, ila nyie vilaza hamtakaa muelewe.
 
Back
Top Bottom