Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kabla ya kupewa uDC alikuwa akiishi kwa 'kuuza chupi', hakuwahi hata kuwaza kuwa mwenyekiti wa mtaa. Baada ya kutunukiwa cheo kisha kutumbuliwa ndio anakuja na ngonjera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye riziki hapakosi wafitini mzee
Kila kazi itapimwa!Atakosa Utamu Wa V8 Na Kutembea Na Police Tanzania
hakunaga "Ni mdada au mkaka?
Pole dada, ndio serikali inavyo operate.Na Basilla Mwanukuzi
Instagra: basillamwanukuzi
KUNA CHA KUJIFUNZA
Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)
2.. Pili kuleta matokeo
Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'
3. Kuleta matokeo kwa wakati
Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.
Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI
HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")
1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)
FAIDA
Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo
SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri
Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa
Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa
Kuna kazi ukikubali kuzichukua ni kama kuuza nafsi yako. DC ana mamlaka gani ya kuleta mabadiliko?Na Basilla Mwanukuzi

Kwanza asante kwa uzi huu!, pili niko very proud kwa huyu Dada!, mimi ndie MC wake alipotwaa taji ya Miss Tanzania, watu open na honest wa aina hii ndio watalisaidia taifa letu kusonga mbele tutoke hapa tulipo, tufike kule tunakopaswa kwenda.Na Basilla Mwanukuzi
KUNA CHA KUJIFUNZA
Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo)
2.. Pili kuleta matokeo
Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta matokeo halafu kwenye mnyororo wa kuleta matokeo kuna watu wanaamua tu kua hayo matokeo sio shida zao...yani vile haraka ya nini??...hakuna matata...no hurry in Africa...ilihali wananchi wanaumia na kuteseka alafu na wewe ukaendelea kutulia tu kwenda na 'trend'
3. Kuleta matokeo kwa wakati
Muda ni kila kitu Serikali inafanya kazi kubwa MNO kuleta fedha kwa ajili ya wananchi inaleta fedha na muongozo mradi uishe ndani ya miezi 3. Inapaswa uishe ndani ya miezi 3 sana sana ukichelewa kidogo basi siku chache za nyongeza sio kama hapo ambapo ujenzi wa miezi 3 umechukua miaka 3 na fedha inaisha mradi haujaisha . Zahanati zote 3 . Wananchi wanateseka hawapati huduma
HAIKUBALIKI duniani wala mbinguni.
Uongozi ni dhamana, uongozi ni UTAKATIFU utakatifu uwe sio kwa mtu mmoja , ukiwa kwa mtu mmoja matokeo yake you will be THE ODD ONE OUT.
Uongozi ni UJASIRI
HASARA YA AINA HII YA UONGOZI (kama ni 'Hasara")
1. Utagombana na wote wenye maslahi yao hata ambao wanatakiwa kukuandikia taarifa zako (unaweza kuimagine watakachoamua kukuandikia ) kifupi utaharibiwa ma-file (uwe tayari)
FAIDA
Faida ni KUBWA ZAIDI utabaki na uadilifu wako na uaminifu wako , kwako , kwa nafasi yako, kwa mamlaka yako ya uteuzi, kwa WANANCHI, kwa Taifa lako, na kwa Mungu wako . Utakua na furaha na amani ya moyo
SWALI ambalo kila Mtanzania anatakiwa ajiulize kwa nini Mtandao wa wenye MASLAHI unanguvu ina maana kuna unakoanzia na kuna ukoishia. Ukideal na unakoishia unajikaanga na mbaya zaidi hata wanaotakiwa kuungana nguvu na wewe badala yake watakua wanaongeza mafuta ukaangike vizuri
Mwenyezi Mungu aendelee kumpa mwanga Mhe Rais wetu @samia_suluhu_hassan katika kuliongoza Taifa
Kumpa wasaidizi wenye mioyo safi kutoka kila NGAZI na kila IDARA na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Ili tufike tunakotakiwa kufika kama Taifa
Instagra: basillamwanukuzi
Na Basilla Mwanukuzi

Mkuu wa Wilaya (Mstaafu?) hawezi kuandika Kiswahili fasaha!
Humjui basila wewe Hana njaa huyoAtakosa Utamu Wa V8 Na Kutembea Na Police Tanzania
Vilaza hamuwezi kuelewa.Duh ulitaka aandikaje mkuu embu sahisha makoza yake tuone Ni yapi
Mnk unakuwa mjinga San
Mm huyu nimemuelewa Ni mbaya Kama hajasevj peza na Wala Hana miradi ya maana hapo lazm chuchu zake ziume
Ila Kama Ana apartment zake ddm au Arusha na mwanza bas Wala asiwaze kazi inendelee
Mm sitaki ujinga nnchi hi Ni magufuli ndio alikuwa kidgo aliwezeaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
masilahimaslahi
2.
kuwa
ikuwa
ili haliilihali
halafualafu
masilahimaslahi
ku-imaginekuimagine
kwa ufupikifupi
utakuwaUtakua
masilahiMASLAHI
una nguvuunanguvu
unakoishiaukoishia
uki-dealUkideal
watakuwawatakua
masilahimaslahi
Mzee Pombe?bahati nzuri mimi aliyenifanyia ubaya huo aliomba msamaha kabla hajafa.
Ha ha ha!Mzee Pombe?