Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Naangalia za wafaransa RtvGame ipo channel gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naangalia za wafaransa RtvGame ipo channel gani?
Ngoja niangalie ss1 or ss7 kama wanaonyeshaDSTv hawaoneshi, nasubiri SSD vs Serbia saa nne. hii ndio win or go home game. Ya USA haina umuhimu though wanaongoza gap kubwa.
Nilikua busy, ndio naanza kucheck hapaAmkeni tuwashughulikie Serbia....
Yes leo Sudan wametuliaTunawamudu kabisa hawa
Sana, wamekutana na timu ngumu lakini bado wanapambanaSSD timu nzuri sana.
Ila Leo second half hawakucheza kabisaTimu ambayo second half inakuwa na extra energy ni USA,hawa wengine tia maji tia maji.
Ssd vs Serbia
Wajinga wanapiga 3 points tuHa ha ha athletic imeisha now,nilikuwa na flip channels tu