Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

DSTv hawaoneshi, nasubiri SSD vs Serbia saa nne. hii ndio win or go home game. Ya USA haina umuhimu though wanaongoza gap kubwa.
Ngoja niangalie ss1 or ss7 kama wanaonyesha

Game iko vizuri japo haina muhimu sana.
Game ya SSD itakua ya Moto sana
 
Timu ambayo second half inakuwa na extra energy ni USA,hawa wengine tia maji tia maji.
Ila Leo second half hawakucheza kabisa
Embiid kila akigusa wanampigia booo, sijui kawakera nn wafaransa
 
Back
Top Bottom