Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Huwa napenda sana kutazama wafukuza upepo, na leo nilikuwa nataka kuona Julien Alfred vs Sherry-Ann Pryce finals za 100m, lakini bahati mbaya hii battle haijatokea...
Julien ama balaa sana yule Mwanadada., atatawala sana mbio fupi, acha tumsubiri 200m hapo kesho.
 
Julien ama balaa sana yule Mwanadada., atatawala sana mbio fupi, acha tumsubiri 200m hapo kesho.
200 hatoboi. Sharicka Jackson wa Jamaica ndio mwenyewe akifuatiwa na mmarekani Gabby Thomas.
 
Back
Top Bottom