wansawa
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 857
- 857
VyemaNgoja nikija na somo la mahubiri nitafanya hivyo usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VyemaNgoja nikija na somo la mahubiri nitafanya hivyo usijali
Jibu swali wewe,ukipigwa maswali magumu unakuaga unajiaminisha kua aliye kuuliza hajaelewa bandikoUmesoma na kuelewa kweli nilichoandika?
🧐🧐Pia nasikia kamba aliyotumia mtu kujinyonga ni dawa
Kwako Mshana jr
Duh bongo humuKule Mbeya kuna wakati watu walipigwa sana mapanga na shoka.. Ilikuja kuthibitika baadae kumbe ni yale ya buchani.. Na yalitumika hivyo kwa masharti ya mganga kuvutia wateja
Zipo silaha zimemwaga damu lakini hazijaondoka na roho na zimeokoa wasio na hatia na kama ni kuua zimeua wabaya wanaostahili kufa
Stupid man is stupid manUmesahau kuweka neno "from chadema" akili zako na za zungu tofauti yake ni kwamba yeye analipwa kwa kila upumbavu anaotamka na wewe unamsaidia kuusambaza.
Sio kila kitu ni ushirikina , watu mnalewa chakari, akili zinawehuka, utaacha kufyatua risasi hovyo hamna cha ushirikina hapo, ni pombe tu hizo na kua mjinga wa kutoweza kucontrol pombe ulizokunywa au unazokunywa
Naomba nikueleweshe tena kwa utulivu.. Hakuna niliposema lile ni tukio la KISHIRIKINA.. bali nimesema silaha husika ni malighafi nzuri kishirikina.. Hebu rudia kusoma headingSiku nyingine msisingizie dini yetu nzuri ya ushirikina, tunautumia kwa manufaa makubwa na yenye kuleta maendeleo
Watu wengine hao waendelee kunywa makonyagi chupa nzima wafyatuane risasi iwe ni uwendawazimu wao na isisingiziwe dini yetu ya ushirikina/mizimu/uganga
Wbu tupe hicho kisa kidogo na sisi tuongeze ufahamuTuliwahi kununua bastola pale Obay na raia mmoja wa nje.. Shida tulizopata na ile silaha sitakaa nizisahau....kuja kupata historia yake ya kweli niliogopa na kutishika mno...
vifuniko vya asali) vinavuliwa kuliko samaki! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]Nimetoka kapa! Ila kuhusu nguo za mitumba hata mimi nasubiri jibu....Maana hizi zinazojiita pisi kali zinazovaa nguo za mitumba hususan (vifuniko vya asali) vinavuliwa kuliko samaki! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Silaha ya pili kwani unataka kuvamia kambi ya jeshi? 😊😊Hawa ndiyo wanatufanya sasa hata kama ulitaka uongeze silaha ya pili nyumban
Basi yangu ilikuwa na bahati.. Nilinunua mtumba South na nikakaa nayo miaka mitatu bila kujeruhi mtu.. Niliuza nilipokuwa narudi bongoNdicho nilichokimaanisha mkuu, silaha ni silaha tu haijalishi imepitia mikono ipi/aliyeitumia alikuwa na lengo gani. Hakuna silaha yenye deal na isiyokuwa na deal (kishirikina).
CC: Miss NatafutaNani kamroga muuaji [emoji15]
😋😋😋Barikiwa mkuu wangu nafanya hivyo ASAP [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1858151