Bata ni mchafu lakini ni mtamu sana kuliko kuku

Umenikumbusha mbali sana mkuu Nyama yake nlikula kwa Marehemu mama yangu Mdgo nkiwa darasa la tano.Ambapo nakumbuka alituandalia hyo nyama tukaila kwa jinsi ilivyoungwa ilikua no tamu hatari[emoji23][emoji23]utadhan kuku makange ya Broiler tulivyomaliza ndo akatuambia na mimi nikakiri n mtamu kuliko kuku,sababu nlikua napenda sana kuku.Basi Ma Mdogo akanipa kuku wawili niliwafuga wale kuku mpka sasa hivi nina kuku 350 wa kienyeji nko chuo tangu std 5[emoji16][emoji16][emoji16].Mtu akiongea bata namkumbuka marehem Ma Mdgo wangu Mungu ampe pumziko la milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
milele amina
 
brown rice ndo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tamu kweli shida yake ni kwenye maandalizi tu. Ana mambo mengi sana.
 
ufugaji wao ni tofauti na hawa wa kienyeji??

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ni tofauti,lakini aina hii ya bata ata wale wakienyeji wanazaliwa weupe tupu inategemea na batajike akiwa mweupe na vifaranga watatoka weupe km mm yao na midomo huwa ya njano,bata mweusi midomo huwa nyeusi,,... Lakini ukienda ziwa Eyasi Arusha hao bata pichani ni wengiii atari watamu sana lakini hawafugwi wanaishi ziwani chakula chao kikuu ni samaki, batamaji nikama hao unavyoona pichani
 
Bata ni moja ya ndege ambaye hakuruhusiwa kuliwa na M/Mungu! Ni najisi kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…