Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Umenikumbusha mbali sana mkuu Nyama yake nlikula kwa Marehemu mama yangu Mdgo nkiwa darasa la tano.Ambapo nakumbuka alituandalia hyo nyama tukaila kwa jinsi ilivyoungwa ilikua no tamu hatari[emoji23][emoji23]utadhan kuku makange ya Broiler tulivyomaliza ndo akatuambia na mimi nikakiri n mtamu kuliko kuku,sababu nlikua napenda sana kuku.Basi Ma Mdogo akanipa kuku wawili niliwafuga wale kuku mpka sasa hivi nina kuku 350 wa kienyeji nko chuo tangu std 5[emoji16][emoji16][emoji16].Mtu akiongea bata namkumbuka marehem Ma Mdgo wangu Mungu ampe pumziko la milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app