Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael AKO WAPI KWANI DAR NI HOTEL NA BRT PEKEE YAKE??? alafu ujue hatukaweka hotels za coastal area because nai ni landlocked...so hakuna ati mnasema hotel mmeshinda..mmeshinda wapi????
 
Annael AKO WAPI KWANI DAR NI HOTEL NA BRT PEKEE YAKE??? alafu ujue hatukaweka hotels za coastal area because nai ni landlocked...so hakuna ati mnasema hotel mmeshinda..mmeshinda wapi????
Ok. Sema nimerudi unasemaje? Kuna vitu vingi nimepost. Wewe anza kuvijibu kimoja kimoja. Wewe isome thread tu.
 
Ok. Sema nimerudi unasemaje? Kuna vitu vingi nimepost. Wewe anza kuvijibu kimoja kimoja. Wewe isome thread tu.
haya nataka twende the next item...taja sector moja unayotaka tujadili na tuanze mara moja
 
haya nataka twende the next item...taja sector moja unayotaka tujadili na tuanze mara moja
Tunaanza na Master Plan of the city. Anza wewe kisha nitakujibu twende taratibu.
 
city masterplan niaje...picha za nairobi ama? niwie radhi
Plan ya mji unavyotakiwa kuwa. Map of the city plan (Summary). Kama huna sema huna ili tuendelee na kingine.
 
Basi usifananishe BRT na matatu. Vipi kuhusu boat?

Kaka hawa sasa wanatambia rail yao mpya ambayo na Tanzania itajengwa mwaka huu, wanasahau kuwa wakati wao wakiwa na rail ya mkoloni Mwingereza sisi tulikuwa na rail ya Mkoloni Mjerumani na pia tulikuwa na Rail ya Watanzania wenyewe Tazara, afterall mambo ya rail wanayoyaonyesha sio kitu cha Nairobi bali ni Mombasa- Nairobi
 
sina hio pengine skyline ya nairobi...ila kasi ni yako...
Skyline sio master plan. Kama huna. Mimi nimekuwekea ya dar es salaam kwenye post #2.
Tuendelee na kingine:-
Current View of the city.
 
Unajua mimi nimewaacha tu sasa hivi naenda nao Taratibu. Maana jamaa wanaanza kuonesha usafiri wa ndege.
 
Skyline sio master plan. Kama huna. Mimi nimekuwekea ya dar es salaam kwenye post #2.
Tuendelee na kingine:-
Current View of the city.
sawa
Current view of the city

Attachments

  • upload_2017-1-8_22-52-46.jpeg
    12.4 KB · Views: 90
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…