Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiufupi Raila kama President AU ingekuwa disaster motions zote kuhusu suala la eastern DRC zingeminywa na Rwanda, Uganda na Kenya wangeendelea kuwa madalali ya uporaji kule DRC! Hata miradi ya SGR kwenda Kindu toka Burundi ingekuwa sabotaged! Sasa subiri uone mziki utakaochezwa dhini ya Kagame na M23!
 

Hawa kenge ni wazandiki sana. Ni virus hatari.

Wangetupiga bei kweupe tukiona.
 
Nyang'au wamebaki wanalia eti pesa ya Kenya imetumika vibaya kupiga kampeni ya AUC ha ha ha😎
Najua sahii mnashindwa jinsi ya kuweka loss ya Raila kama habari mbaya kwa sababu tayari wakenya majority walikwona kama traitor, tena mnashindwa kuweka ruto kwa hali mbaya kwa sababu wakenya wenyewe ndio wamewazidi kumharibia jina, na tukiwaambianga hatuko same mnaonanga kama ni hekaya za abunwasi😂
Kuongezea, hatuna chuki naye, bado heshima yake iko kwa yale mazuri aliyoyafanya
 
Wakenya wanasherekea loss ya Raila kuwaliko hadi wameshindwa vile wataanza kutucheka😂😂
 
Mbona unalia lia wewe nyang'au😁😁
 
Hii ndio metropolis? 😂😂😂😂😂😂😂
That's Nairobi National Park. Wacha kujitoa ufahamu. And yes, it's in Nairobi.

And talking of Nairobi metropolis, have a look at these and tell me if you have anything close to these areas in Dar and it's environs

1. Ruaka


2. Ruiru



Kiserian (25km) from Nairobi cbd


Rongai, 26 kms from Nairobi cbd


Athi River, 29kms from cbd


Ngong


Juja, 33kms from Nairobi cbd


Now, this is what a metropolis is
 
Dar ukitoka beach area na downtown ( 5%) of the city , Kwingine kote ni shamba la mihogo au Uswaziland … no wonder Bongolalas wanachukia Nairobi sana …🤣🤣
 

Kabla hajashindwa mbona amkusema haya yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…