Yaani now ni ufala watumishi badala ya kufanya kazi wanawaza event za kusifia.Unakumbuka zile kilometer 2000 alizozindua kafulila alisema za PPP?
labda point yangu hukuielewa nilikwambia kugawa mitungi bure sio kuondoa tatizo, tatizo ni bei ya umeme ipungue sana na tozo za gas zipunguzwe kwa kias kikubwa full stop nje ya hapo tunatwanga maji kwenye kinu πππ
πππππππ wacha nicheke tu umeelewa nilichoongea nimekwambia hichi kiwanda kipo toka 2020 kinafunguliwa kitu ganiWacha upumbavu Nimefanywa upanuzi! Mwanzo kilikuwa hakizalishi saruji bali clinker tu!
sioni uhusiano wa hizi picha kakaπππCalifornia Nairobi
Before 2 years ego
View attachment 3253355
Now
View attachment 3253375View attachment 3253376
Kilikuwa kinazalisha clinker tu saahii kinazalisha cement!πππππππ wacha nicheke tu umeelewa nilichoongea nimekwambia hichi kiwanda kipo toka 2020 kinafunguliwa kitu gani
Add..Enjoy.
Roads at Northlands Nairobi
View attachment 3253332View attachment 3253333View attachment 3253341