Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Machawa hawanaga akili yani kujenga transmission line wameshindwa wamekimbilia kununua umeme njee sasa huo umeme mwingi tunaozalisha tutamuuzia nani
 

kwahiyo sgr tanzania kwa miezi nane imefanikiwa kubeba abiria sawa na asimia 13.9 ya abiria waliobebwa na nginja nginja kenya kwa muda wa miaka 7 na miezi 7

kwa hiyo baaada ya miaka 7 na miezi 7 itakuwa n wastani wa abiria 23,100,000/= ikiwa na ziada abiria 8.73mil ya wale wakenya na baada ya miaka 15 kuanzia sasa sgr tanzania itakuwa imesafirisha abiria 45mil huku sgr kenya ikiwa na abiria 42.36mil ikiwa ni miaka ni miaka 22 na miezi toka kuundwa kwakehuku tz ikiwa ni miaka 15 toka kuundwa kwake
 
 
Imagine β€œpolice station” ya huyo Kijana iko na Probox as police car, polisi wa Tanzania wanatumia pia Probox, so in short Huyo kijana ako same level na polisi wa Tanzania in terms of facilities.
huyo ni jambazi kama majambazi wengine mwehu wewe unajua ni kesi ngap za kukamata watu ovyo kazifanya in 3 good years, yani intelligent system ya nchi yenu ni poor kabisa ndio munajua leo baada ya miaka 3 wakat jamaa kashaibia watu pesa za kutosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi sibishani na mwenye amekimbia nchi yake. Si urudi kwenu Yemen?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…