NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Kati yetu na nyinyi nani ameshindwa kulipa Kodi yake ya EAC?You can't handle your domestic bills unaongea ujinga.
Tokeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati yetu na nyinyi nani ameshindwa kulipa Kodi yake ya EAC?You can't handle your domestic bills unaongea ujinga.
Tokeni!
Kwani nyie mmelipa au mmejificha kama kawaida yenyu?😁Kati yetu na nyinyi nani ameshindwa kulipa Kodi yake ya EAC?
Machawa hawanaga akili yani kujenga transmission line wameshindwa wamekimbilia kununua umeme njee sasa huo umeme mwingi tunaozalisha tutamuuzia naniHao kenge wana matatizo sana.
Muda huo huo kuna umeme wameunganishia Kenya unatoka Tanzania.
Kwanini hawawazi kupanua Nyumba ya Mungu, Hale Dam?
Au kujenga Hydropower.
Maana ukiangalia Reservoir ya Nyumba ya Mungu ni.kubwa sana. Same kwa mtera.
Kuna watu akili.zimepinga.
Imagine kuna Mpango.wa kuuzia Zambia Umeme na wewe unadai kuna upotevu.
Si wajenge VITUO VYA.KUPOOZA UMEME sasa?
View attachment 3265841
kwahiyo sgr tannia kwa miezi nane imefanikiwa kubeba abiria sawa na asimia 13.9 ya abiria waliobebwa na nginja nginja kenya kwa muda wa miaka 7 na miezi 7
TikTok - Make Your Day
www.tiktok.comTikTok - Make Your Day
www.tiktok.com
kwa hiyo baaada ya miaka 7 na miezi 7 itakuwa n wastani wa abiria 23,100,000/= ikiwa na ziada abiria 8.73mil ya wale wakenya na baada ya miaka 15 kuanzia sasa sgr tanzania itakuwa imesafirisha abiria 45mil huku sgr kenya ikiwa na abiria 42.36mil ikiwa ni miaka ni miaka 22 na miezi toka kuundwa kwakehuku tz ikiwa ni miaka 15 toka kuundwa kwake
Nyie hata project ya $150 hamna uwezo huo. Kila project ya kuanzia $100 ni loan. Mishahara shida, chakula shida.Kati yetu na nyinyi nani ameshindwa kulipa Kodi yake ya EAC?
Nyie hata project ya $150 hamna uwezo huo. Kila project ya kuanzia $100 ni loan. Mishahara shida, chakula shida.
Huyu mwana analia, anacheka?
Ana huzuni, amefurahi ama ni tabasamu?
View: https://x.com/alloysmayaka/status/1898663136921633131
yani miaka 3 iliopita jamaa anaendesha kituo cha polisi fake 😂😂😂😂
View: https://x.com/bossyator/status/1899006044526801398?s=46
Nyie hata project ya $150 hamna uwezo huo. Kila project ya kuanzia $100 ni loan. Mishahara shida, chakula shida.
Huyu mwana analia, anacheka?
Ana huzuni, amefurahi ama ni tabasamu?
View: https://x.com/alloysmayaka/status/1898663136921633131
huyo ni jambazi kama majambazi wengine mwehu wewe unajua ni kesi ngap za kukamata watu ovyo kazifanya in 3 good years, yani intelligent system ya nchi yenu ni poor kabisa ndio munajua leo baada ya miaka 3 wakat jamaa kashaibia watu pesa za kutosha 😂😂😂😂😂Imagine “police station” ya huyo Kijana iko na Probox as police car, polisi wa Tanzania wanatumia pia Probox, so in short Huyo kijana ako same level na polisi wa Tanzania in terms of facilities.
Mimi sibishani na mwenye amekimbia nchi yake. Si urudi kwenu Yemen?huyo ni jambazi kama majambazi wengine mwehu wewe unajua ni kesi ngap za kukamata watu ovyo kazifanya in 3 good years, yani intelligent system ya nchi yenu ni poor kabisa ndio munajua leo baada ya miaka 3 wakat jamaa kashaibia watu pesa za kutosha 😂😂😂😂😂