Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao kenge wana matatizo sana.

Muda huo huo kuna umeme wameunganishia Kenya unatoka Tanzania.

Kwanini hawawazi kupanua Nyumba ya Mungu, Hale Dam?

Au kujenga Hydropower.

Maana ukiangalia Reservoir ya Nyumba ya Mungu ni.kubwa sana. Same kwa mtera.

Kuna watu akili.zimepinga.

Imagine kuna Mpango.wa kuuzia Zambia Umeme na wewe unadai kuna upotevu.

Si wajenge VITUO VYA.KUPOOZA UMEME sasa?
Machawa hawanaga akili yani kujenga transmission line wameshindwa wamekimbilia kununua umeme njee sasa huo umeme mwingi tunaozalisha tutamuuzia nani
 
1741620472170.png

kwahiyo sgr tanzania kwa miezi nane imefanikiwa kubeba abiria sawa na asimia 13.9 ya abiria waliobebwa na nginja nginja kenya kwa muda wa miaka 7 na miezi 7

kwa hiyo baaada ya miaka 7 na miezi 7 itakuwa n wastani wa abiria 23,100,000/= ikiwa na ziada abiria 8.73mil ya wale wakenya na baada ya miaka 15 kuanzia sasa sgr tanzania itakuwa imesafirisha abiria 45mil huku sgr kenya ikiwa na abiria 42.36mil ikiwa ni miaka ni miaka 22 na miezi toka kuundwa kwakehuku tz ikiwa ni miaka 15 toka kuundwa kwake
 
View attachment 3265841
kwahiyo sgr tannia kwa miezi nane imefanikiwa kubeba abiria sawa na asimia 13.9 ya abiria waliobebwa na nginja nginja kenya kwa muda wa miaka 7 na miezi 7

kwa hiyo baaada ya miaka 7 na miezi 7 itakuwa n wastani wa abiria 23,100,000/= ikiwa na ziada abiria 8.73mil ya wale wakenya na baada ya miaka 15 kuanzia sasa sgr tanzania itakuwa imesafirisha abiria 45mil huku sgr kenya ikiwa na abiria 42.36mil ikiwa ni miaka ni miaka 22 na miezi toka kuundwa kwakehuku tz ikiwa ni miaka 15 toka kuundwa kwake
 
Imagine “police station” ya huyo Kijana iko na Probox as police car, polisi wa Tanzania wanatumia pia Probox, so in short Huyo kijana ako same level na polisi wa Tanzania in terms of facilities.
huyo ni jambazi kama majambazi wengine mwehu wewe unajua ni kesi ngap za kukamata watu ovyo kazifanya in 3 good years, yani intelligent system ya nchi yenu ni poor kabisa ndio munajua leo baada ya miaka 3 wakat jamaa kashaibia watu pesa za kutosha 😂😂😂😂😂
 
Mimi sibishani na mwenye amekimbia nchi yake. Si urudi kwenu Yemen?
 
Back
Top Bottom