The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Aisee ni kweli unachokisema? Mbn wakenya wana maisha magumu namna hyo? By the way kuna uzi upo humu, unaohusu tofauti ya maisha Tz vs Kenya, oyaa 100% ya watanzania wanaoishi au waliowahi kuishi Kenya wanasema kuna maisha ya hovyo mno Kenya, yn hawatufikii quality of life hata chembe ya ngano.Kama huijui Kenya, utamchukia Nyerere, utachukia ujamaa wake na utaona tumechelewa sana.
Tangu nitembelee Kenya.
Nawaambia Watanzania jivunieni nchi yenu, na hakikisheni watu hawaichezei.
Ukitoa hiyo GDP na thamani ya shilingi wanayotamba nayo, Kenya hawana kitu kingine.
Hali ni mbayaaa. Nikisema mbaya namaanisha mbayaaa.
KUna wakenya walikuwa wananunua pumba TZ, na siyo kwamba wanaemda kulisha mifugo, noo.
Wanaenda kusaga Unga wa ugali😂😂