The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Aisee ni kweli unachokisema? Mbn wakenya wana maisha magumu namna hyo? By the way kuna uzi upo humu, unaohusu tofauti ya maisha Tz vs Kenya, oyaa 100% ya watanzania wanaoishi au waliowahi kuishi Kenya wanasema kuna maisha ya hovyo mno Kenya, yn hawatufikii quality of life hata chembe ya ngano.Kama huijui Kenya, utamchukia Nyerere, utachukia ujamaa wake na utaona tumechelewa sana.
Tangu nitembelee Kenya.
Nawaambia Watanzania jivunieni nchi yenu, na hakikisheni watu hawaichezei.
Ukitoa hiyo GDP na thamani ya shilingi wanayotamba nayo, Kenya hawana kitu kingine.
Hali ni mbayaaa. Nikisema mbaya namaanisha mbayaaa.
KUna wakenya walikuwa wananunua pumba TZ, na siyo kwamba wanaemda kulisha mifugo, noo.
Wanaenda kusaga Unga wa ugali😂😂
Yeye anakesha mtandaoni anadhani wote tupo hvyo.Some of us haven't been around for a minute, your argument doesn't hold any water.
Aisee ni kweli unachokisema? Mbn wakenya wana maisha magumu namna hyo? By the way kuna uzi upo humu, unaohusu tofauti ya maisha Tz vs Kenya, oyaa 100% ya watanzania wanaoishi au waliowahi kuishi Kenya wanasema kuna maisha ya hovyo mno Kenya, yn hawatufikii quality of life hata chembe ya ngano.
Again , your usual level. Kibera !… your middle class areas are full of shared toilets. Show me a shared toilet in middle class za kenya and I will donate $200 to any charitable cause of your choice . I dare you!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 There are no shared toilets in Tanzania. You will only find public toilets at bus stand.Again , your usual level. Kibera !… your middle class areas are full of shared toilets. Show me a shared toilet in middle class za kenya and I will donate $200 to any charitable cause of your choice . I dare you!
Which Tanzania are you referring to?… Ile ya CCM na Mamá ama ingine ?…🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 There are no shared toilets in Tanzania. You will only find public toilets at bus stand.
But in Kenya, Every where flying toilets
Here we post pictures. Post any pictures of shared toilets in Tanzania. 🤣 🤣 🤣 🤣 Mimi sina muda na maneno. Show your proofsWhich Tanzania are you referring to?… Ile ya CCM na Mamá ama ingine ?…🤣🤣🤣
Imagine all those properties pesa yote mmempa mchina meanwhile Tanzania ni local fundi wanaweka mfukoni 98% of our real-estate stake, Kunyaland 95 percent of the whole real-estate profits is going to Chinese, Somalis, Indians, Arabs, whitesGreatwall is full currently. Huko kwao Mchina alijaribu kujenga Avic Town in 2013, it’s still empty up to now.
Chai MAHARAGE , mara mwisho kuzipanda nilikuwa bado la popo miaka ya 90
Hiyo ndio Talanta stadium?View attachment 3321748
Good editing mwanakibera,mkapa stadium imezungukwa na kambi ya jeshi upande wa south na west,upande wa north kuna chuo cha duce mashariki ofisi za serikali na mahakama,kaedit tena lipicha lako
Picha zimewekwa na wakenya hizo👆👆👆👆 lengo lao ni kuichafua Tanzania.
Kijana wa Tandale, do you know what a logistics center is? And do you know what a mall is?Maana yake huko Kenya hakuna Very Big Logistic Center 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwahiyo hii clip haikuona hicho Ulicho-post bali kinyeo chako hapo Kibera!Sasa unatuonyesha picha ya siku tartan was installed and the pitch had no canopy, why can’t you just share the current picture of that low quality running track?
Hadi hii habari mshaijua!! Na tukisema mnafatilia masuala ya Kenya mnakataaTeargass nairobae mwaiofhawaii NairobiWalker IamLee Nicxie Kujeni hapa mtoe maelezo.
Kenyan MP shot dead in ‘devastating’ targeted attack on streets of capital 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇 Mungiki part two inakuja
Thursday 01 May 2025 12:43 BST
Kenyan MP shot dead in ‘devastating’ targeted attack on streets of capital
Kenyan president Willian Ruto has urged police to conduct a ‘thorough investigation’ in Charles Ong'ondo Were’s killingwww.independent.co.uk
Huoni hiyo ni picha ya Google Earth wewe kilaza?Picha zimewekwa na wakenya hizo👆👆👆👆 lengo lao ni kuichafua Tanzania.
Hujui maana ya Logistic Center nikufundishe? 🤣 🤣 🤣 Kingereza hujui?Kijana wa Tandale, do you know what a logistics center is? And do you know what a mall is?